Simba tumefungwa lakini nimeridhika

Simba tumefungwa lakini nimeridhika

[emoji2960][emoji2960]
IMG_1632601808211.jpg
 
Mashabiki wa bongo utawaweza ndugu.Ujuaji mwingi alafu hakuna kitu.Ligi ndo kwanza inaenda kuanza mtu anaongea maneno mengi utadhani timu inashuka daraja.
Wao ni bendera tu ,timu ikishinda wanaona ishamaliza kila kitu na eti haina udhaifu
We tazama hata leo ,hakuna anayejiuliza ni kwa nini timu ya Yanga ilikuwa imeruhusu shots on target nyingi zaidi golini kwake kama Simba walikuwa dhaifu.Hawa watafungwa kirahisi next games afu Yanga wataanza kumsaka mchawi wao wanayedhani daima ni TFF
 
Sikilizeni nyinyi wake zangu.

Timu imecheza vizuri. Jicho LA tatu linanambia kuanzia viongozi na baadhi ya wachezaji hawakuupa uzito huu mchezo.

Ni kama bado mwalimu anatafuta combination na haukuwa na uzito halisi sijui kwa nini?

Tulieni mtafakari akina Kibu, mkude, Morrison na wengine. Kwa mchezo was Leo kukosekana na maingizo Yale ya mabadiliko.

Kumekosekana mnyumbuliko na utashi lutokana na umuhimu wa game na matakwa ya waendesha ligi.

Sisi tunaojua siasa za mpira tunajua kwa mini Leo ilikuwa lazima Simba ifungwe.

Ufupi wa maneno. Protocol I zimelazimisha Simba ifungwe na simba yenyewe imeridhika.
Usiniulize kwa nini
Duhhh mapya hayo ,tupe dondoo aisee
 
Wewe ndo mjinga ,maana unaamini bila faulo Simba angefungwa nyingi kana kwamba kila faulo kwenye mpira inazaa goli wewe ni mjinga pure

So unamaanisha Yanga angeshinda goli 26-Simba 18

Ujinga kazi kweli hehehe
Unaendeleza ujinga wako, nimekwambia ficha upumbavu wako
 
Asiyekubali kushindwa si mshindani.

Leo nimekushinda, Kesho na keshokutwa njoo na mbinu madhubuti zaidi ili unishinde.

FIFA says, "My game is fair play"- Say no to racism.
 
Kilicho wasaidia ni Yanga kwenye ile gemu ni kuwa na mechi fitness. Baada ya kula vipigo viwili kutoka kwa River united hawakuondoka patupu waliambulia mechi fitness.

Simba hawakuwa na maandalizi mazuri ya hii game. Mazoezi ya Simba day dhidi ya TP Mazembe hayakupaswa kutumiwa kama ndio maandalizi ya kupambana na Yanga. Wachezaji wa Simba walionekana ni kama wamechoka choka sana.

Kocha wa Simba ni kama anatatizo kwa baadhi ya sub zake, mara nyingi amekuwa akimtumia Mzamiru kama kiungo wake lakini anachoshindwa kujua kwa game zenye kasi hasa za Simba na Yanga siku zote Mazamiru amekuwa hana msaada, ni mtu ambaye sio mbunifu na amekuwa akipiga back pass nyingi nbadala ya kudrive timu mbele, hivyo naweza sema sub ya Mzamiru iliicost Simba. Kwa mech kama hizi zenye kasi Ndemla angetufaa sana wanasimba hasa uwezo wake wakupiga mashuti ya kushtukiza na yenye speed ya light.

Kwa miaka ya karibuni Yanga akicheza na Simba amekuwa akianza mpira kwa kasi sana akitafuta goli la mapema kisha waanze kulinda, makocha wa Simba wameshindwa kulijua hili ndio maana ukifuatilia ushindi mwingi wa Yanga dhidi ya Simba umekuwa ni moja bila kwa siku za karibuni.

Timu ya Simba bado ni nzuri ila pengo la Chama litachukua muda kuzibika kutokana na uwezo wake wa kucreate clear chance na kuipandisha timu.

Binafsi naona huyu kocha wa Simba ni mnyonge sana mbele ya Yanga na huwenda approach yake dhidi ya Yanga huwa sio nzuri .
 
Jicho langu la kimpira naona timu ni nzuri sana, isipokuwa beki ya kushoto na kulia kuna shida kidogo na beki ya kati lazima yule Kennedy acheze either na wawa ama onyango, onyango na wewe wako slow pamoja, kufungwa japo inauma, lakini ndiyo matokeo ya mpira
Kapombe kashuka sana kiwango hasa kwenye kupandisha timu, cross zake hazina macho na sikumbuki mara ya mwisho kupiga cross iliyozaa goli ilikuwa ni lini.

Ni wakati sasa Patrick Mwenda akapewa nafasi huyu dogo ni mzuri sana kweny kukaba na kupanda na umri unamruhusu kufanya yote hayo.
 
Acha ujinga wewe kaoge kwanza
Ulitaka Nani afungwe
Yaan mpira ni kama haemophrodite yaan atakae muwahi mwenzake anamuingizia mkuyenge anabeba mimba

Kwa hiyo mikia watulie utopolo wamewawahi watulie tuli wabebe mimba
 
Wao ni bendera tu ,timu ikishinda wanaona ishamaliza kila kitu na eti haina udhaifu
We tazama hata leo ,hakuna anayejiuliza ni kwa nini timu ya Yanga ilikuwa imeruhusu shots on target nyingi zaidi golini kwake kama Simba walikuwa dhaifu.Hawa watafungwa kirahisi next games afu Yanga wataanza kumsaka mchawi wao wanayedhani daima ni TFF
Shots on target Simba 3 Yanga 5. Labda kama unazungumzia shots off target ndio Simba imepiga nyingi kuliko Yanga
 
Lazima uridhike kucheza na wanaojua, kajitahidi sana kupigwa goli 1 ni ushindi kwake

Yanga kanifadhaisha sana timu mbovu kama nyau kushindwa ilalua hata 4-1
Tokea umezaliwa hadi utakufa hujawah ona na hutoona Yanga akiifunga Simba goli 3-0
 
Mpira wa Tanzania una maajabu sana, mechi za sherehe zao sijui Simba Day au Mwananchi kila team imeweza kujaza uwanja kama wao na mechi za furaha tu lakini kwenye mechi inayotambulika team hizo mbili zimeshindwa kujaza uwanja kwa pamoja. shida ni nini? watu wanaenda kwenye hizi day kushangaa tu sio mapenzi au kule kuna janja janja ticket za bure mkajaze turingishe upande wa pili. Kuna mtu nimesikia promotion haikufanyika kwani hili tamasha? hii ni mechi ya kufungua msimu iko kwenye ratiba sasa promotion ya nini? Jana ndio ime reflect hali halisi ya team hizi mbili huku kwenye social media tunaucheza mwingi lakini uhalisia hakuna kitu.
 
Tatizo ni kocha na Mugalu wake, utadhani kamroga. Hafanyi lolote ndani na hamfanyii sub.
Wakati tunawa-miss Chama na Konde Boy, pengo lingine ni la Sven ambalo haliongelewi sana. Tangu Sven aondoke kiwango cha uchezaji kimeshuka sana na kutegemea sana kujaza ma-striker mfumo ambao tija yake ndogo kwani hawako clinical na hupoteza nafasi nyingi za magoli.
Bila kupepesa macho, Gomes hatufai Simba na mwaka huu hatuvuki makundi. Wanasema mpira ni biashara matokeo yake ndio haya. Kwa mimi nasema mpira ni wachezaji. Biashara haichezi mpira. Leo hii timu aliyokwenda Chama wakisema turudishieni pesa yetu na mumchukue Chama wenu, wana Simba wengi kama sio wote watasema tupeni Chama wetu. Biashara tulifanya lakini timu tuliiharibu. Afadhali tungekomaa na Chama, Miqueson aende. Pengo la Chama litatukaa vichwani kwa muda mrefu sana na hasa ukizingatia kiuwezo Bwalya ni kama nusu ya Chama.
Mwaka huu Simba itabidi ijihadhari sana kwani kila timu itakuja imepania kwa kudhani kuwa Simba sasa ni rahisi kufungika kutokana na kutokuwepo kwa wachazaji hao wawili.
Kwa mtazamo wangu mimi, ubingwa mwaka huu ni 40% Simba, 30% Yanga na 30% Azam. Na point za ubingwa mwaka huu hazitovuka hamsini kwa timu yoyote ile na kutakuwa na funga nikufunge nyingi tu msimu huu na ubingwa utapatikana katika mechi mbili za mwisho na sio kama tulivyozoea mechi tano au sita kabla. Nauona ushinfani wa nguvu msimu huu.
Sven ambae ukitoa chama timu inakua kama Mashujaa fc?
 
Tokea umezaliwa hadi utakufa hujawah ona na hutoona Yanga akiifunga Simba goli 3-0
Hii ramli itakurudia si muda, Kule stani bakora alisema yanga akimfunga nyau Basi buggati akamtoleee posa kwa bibiake naamini kwa usiku wa leo ameshajifunza kulala Bila chupi
 
Back
Top Bottom