Yanga moja Simba bila kuna nini tena zaidi ya hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga moja Simba bila kuna nini tena zaidi ya hilo.
Kuhusu chama, tumefungwa na Yanga Chama akiwepoKilicho wasaidia ni Yanga kwenye ile gemu ni kuwa na mechi fitness. Baada ya kula vipigo viwili kutoka kwa River united hawakuondoka patupu waliambulia mechi fitness.
Simba hawakuwa na maandalizi mazuri ya hii game. Mazoezi ya Simba day dhidi ya TP Mazembe hayakupaswa kutumiwa kama ndio maandalizi ya kupambana na Yanga. Wachezaji wa Simba walionekana ni kama wamechoka choka sana.
Kocha wa Simba ni kama anatatizo kwa baadhi ya sub zake, mara nyingi amekuwa akimtumia Mzamiru kama kiungo wake lakini anachoshindwa kujua kwa game zenye kasi hasa za Simba na Yanga siku zote Mazamiru amekuwa hana msaada, ni mtu ambaye sio mbunifu na amekuwa akipiga back pass nyingi nbadala ya kudrive timu mbele, hivyo naweza sema sub ya Mzamiru iliicost Simba. Kwa mech kama hizi zenye kasi Ndemla angetufaa sana wanasimba hasa uwezo wake wakupiga mashuti ya kushtukiza na yenye speed ya light.
Kwa miaka ya karibuni Yanga akicheza na Simba amekuwa akianza mpira kwa kasi sana akitafuta goli la mapema kisha waanze kulinda, makocha wa Simba wameshindwa kulijua hili ndio maana ukifuatilia ushindi mwingi wa Yanga dhidi ya Simba umekuwa ni moja bila kwa siku za karibuni.
Timu ya Simba bado ni nzuri ila pengo la Chama litachukua muda kuzibika kutokana na uwezo wake wa kucreate clear chance na kuipandisha timu.
Binafsi naona huyu kocha wa Simba ni mnyonge sana mbele ya Yanga na huwenda approach yake dhidi ya Yanga huwa sio nzuri .
Kwamba ukusikia tiketi zimepanda bei mzunguko toka huku 3 hadi 10Mpira wa Tanzania una maajabu sana, mechi za sherehe zao sijui Simba Day au Mwananchi kila team imeweza kujaza uwanja kama wao na mechi za furaha tu lakini kwenye mechi inayotambulika team hizo mbili zimeshindwa kujaza uwanja kwa pamoja. shida ni nini? watu wanaenda kwenye hizi day kushangaa tu sio mapenzi au kule kuna janja janja ticket za bure mkajaze turingishe upande wa pili. Kuna mtu nimesikia promotion haikufanyika kwani hili tamasha? hii ni mechi ya kufungua msimu iko kwenye ratiba sasa promotion ya nini? Jana ndio ime reflect hali halisi ya team hizi mbili huku kwenye social media tunaucheza mwingi lakini uhalisia hakuna kitu.
Usimkasirikie, mwache ademkeMshukuru Mungu hata kwa hilo mliootea pambaaaaavu
Hujawah kuona na hutoonaHii ramli itakurudia si muda, Kule stani bakora alisema yanga akimfunga nyau Basi buggati akamtoleee posa kwa bibiake naamini kwa usiku wa leo ameshajifunza kulala Bila chupi
Hivi mechi ngapi Chama alizocheza dhidi ya Yanga na matokeo yalikuwa vipi? kuna watu wanaongea hapa utasema Simba alikuwa anashinda wakati Chama yupo Simba matokeo yalikuwa ya kusuasua tu kwa miaka 3 sasa dhidi ya Yanga.Kilicho wasaidia ni Yanga kwenye ile gemu ni kuwa na mechi fitness. Baada ya kula vipigo viwili kutoka kwa River united hawakuondoka patupu waliambulia mechi fitness.
Simba hawakuwa na maandalizi mazuri ya hii game. Mazoezi ya Simba day dhidi ya TP Mazembe hayakupaswa kutumiwa kama ndio maandalizi ya kupambana na Yanga. Wachezaji wa Simba walionekana ni kama wamechoka choka sana.
Kocha wa Simba ni kama anatatizo kwa baadhi ya sub zake, mara nyingi amekuwa akimtumia Mzamiru kama kiungo wake lakini anachoshindwa kujua kwa game zenye kasi hasa za Simba na Yanga siku zote Mazamiru amekuwa hana msaada, ni mtu ambaye sio mbunifu na amekuwa akipiga back pass nyingi nbadala ya kudrive timu mbele, hivyo naweza sema sub ya Mzamiru iliicost Simba. Kwa mech kama hizi zenye kasi Ndemla angetufaa sana wanasimba hasa uwezo wake wakupiga mashuti ya kushtukiza na yenye speed ya light.
Kwa miaka ya karibuni Yanga akicheza na Simba amekuwa akianza mpira kwa kasi sana akitafuta goli la mapema kisha waanze kulinda, makocha wa Simba wameshindwa kulijua hili ndio maana ukifuatilia ushindi mwingi wa Yanga dhidi ya Simba umekuwa ni moja bila kwa siku za karibuni.
Timu ya Simba bado ni nzuri ila pengo la Chama litachukua muda kuzibika kutokana na uwezo wake wa kucreate clear chance na kuipandisha timu.
Binafsi naona huyu kocha wa Simba ni mnyonge sana mbele ya Yanga na huwenda approach yake dhidi ya Yanga huwa sio nzuri .
Kutoka washabiki laki 120 mpaka alfu 30 sababu ya kiingilio? basi league viwanja vitakuwa vitupu ikiwa wao kwa wao tu uwanja mtupu wakija kucheza sijui na JKT....Kwamba ukusikia tiketi zimepanda bei mzunguko toka huku 3 hadi 10
Kwamba hufahamu watu walikuwa na hofu ya kipigo hasa nyau angalia jukwaa lao hawakujitokeza kabisa
Kuna uwezekano mechi ijayo nyau akajitokeza matola (mganga wa timu) na wengine wachache zaid
Shida sio Simba kufungwa, shida ni team kuchezwa mpira kama Majimaji.Hivi mechi ngapi Chama alizocheza dhidi ya Yanga na matokeo yalikuwa vipi? kuna watu wanaongea hapa utasema Simba alikuwa anashinda wakati Chama yupo Simba matokeo yalikuwa ya kusuasua tu kwa miaka 3 sasa dhidi ya Yanga.
Mbona nyie mlimuuza kisinda sasa kwanini hamkuacha na mmetolewa kimataifa mapemaaa.Wamefeli
Wewe jamaa acha uongo. Kati ya Simba na Yanga ni timu ipi iliyokuwa na maandalizi mazuri ya msimu? Yanga wameenda Morocco hakuna lolote cha maana walichokifanya. Wamerudi Tanzania wamecheza mechi mbili tu za kirafiki ( vs Zanaco na vs DTB) baada ya hapo wameangukia moja kwa moja kwenye mechi mbili za klabu bingwa.Kilicho wasaidia ni Yanga kwenye ile gemu ni kuwa na mechi fitness. Baada ya kula vipigo viwili kutoka kwa River united hawakuondoka patupu waliambulia mechi fitness.
Simba hawakuwa na maandalizi mazuri ya hii game. Mazoezi ya Simba day dhidi ya TP Mazembe hayakupaswa kutumiwa kama ndio maandalizi ya kupambana na Yanga. Wachezaji wa Simba walionekana ni kama wamechoka choka sana.
Kocha wa Simba ni kama anatatizo kwa baadhi ya sub zake, mara nyingi amekuwa akimtumia Mzamiru kama kiungo wake lakini anachoshindwa kujua kwa game zenye kasi hasa za Simba na Yanga siku zote Mazamiru amekuwa hana msaada, ni mtu ambaye sio mbunifu na amekuwa akipiga back pass nyingi nbadala ya kudrive timu mbele, hivyo naweza sema sub ya Mzamiru iliicost Simba. Kwa mech kama hizi zenye kasi Ndemla angetufaa sana wanasimba hasa uwezo wake wakupiga mashuti ya kushtukiza na yenye speed ya light.
Kwa miaka ya karibuni Yanga akicheza na Simba amekuwa akianza mpira kwa kasi sana akitafuta goli la mapema kisha waanze kulinda, makocha wa Simba wameshindwa kulijua hili ndio maana ukifuatilia ushindi mwingi wa Yanga dhidi ya Simba umekuwa ni moja bila kwa siku za karibuni.
Timu ya Simba bado ni nzuri ila pengo la Chama litachukua muda kuzibika kutokana na uwezo wake wa kucreate clear chance na kuipandisha timu.
Binafsi naona huyu kocha wa Simba ni mnyonge sana mbele ya Yanga na huwenda approach yake dhidi ya Yanga huwa sio nzuri .
Mimi sijali tumecheza vipi muhimu matokeo ukichukuwa point 3 ndio muhimu sio tumepiga sana chenga haisaidii kitu siku zote mshindi tu ndio anakumbukwa sio aliyepiga pass nyingi, ya pass nyingi yanaishia studio tu nje aliyeshinda anafurahia. Turudi kwenye basic ya mpira ushindi sio hizo statics mambo ya kuiga huko corner ngapi, off target ngapi sijui block ngapi hayana umuhimu wowote kwangu binafsi.Shida sio Simba kufungwa, shida ni team kuchezwa mpira kama Majimaji.
Au unaona tulicheza mpira kama bingwa mtetezi?
Shorts on target ndio muhimu hayo mengine ni uchafu tu
Matokeo huyapti bila kucheza mpira, otherwise yanakuwa ni ya kubahatisha.Mimi sijali tumecheza vipi muhimu matokeo ukichukuwa point 3 ndio muhimu sio tumepiga sana chenga haisaidii kitu siku zote mshindi tu ndio anakumbukwa sio aliyepiga pass nyingi, ya pass nyingi yanaishia studio tu nje aliyeshinda anafurahia. Turudi kwenye basic ya mpira ushindi sio hizo statics mambo ya kuiga huko corner ngapi, off target ngapi sijui block ngapi hayana umuhimu wowote kwangu binafsi.
Maoni yako tu ila hujui kwanini chama aliuzwa hakuna mchezaji wa permanent simba.Tatizo ni kocha na Mugalu wake, utadhani kamroga. Hafanyi lolote ndani na hamfanyii sub.
Wakati tunawa-miss Chama na Konde Boy, pengo lingine ni la Sven ambalo haliongelewi sana. Tangu Sven aondoke kiwango cha uchezaji kimeshuka sana na kutegemea sana kujaza ma-striker mfumo ambao tija yake ndogo kwani hawako clinical na hupoteza nafasi nyingi za magoli.
Bila kupepesa macho, Gomes hatufai Simba na mwaka huu hatuvuki makundi. Wanasema mpira ni biashara matokeo yake ndio haya. Kwa mimi nasema mpira ni wachezaji. Biashara haichezi mpira. Leo hii timu aliyokwenda Chama wakisema turudishieni pesa yetu na mumchukue Chama wenu, wana Simba wengi kama sio wote watasema tupeni Chama wetu. Biashara tulifanya lakini timu tuliiharibu. Afadhali tungekomaa na Chama, Miqueson aende. Pengo la Chama litatukaa vichwani kwa muda mrefu sana na hasa ukizingatia kiuwezo Bwalya ni kama nusu ya Chama.
Mwaka huu Simba itabidi ijihadhari sana kwani kila timu itakuja imepania kwa kudhani kuwa Simba sasa ni rahisi kufungika kutokana na kutokuwepo kwa wachazaji hao wawili.
Kwa mtazamo wangu mimi, ubingwa mwaka huu ni 40% Simba, 30% Yanga na 30% Azam. Na point za ubingwa mwaka huu hazitovuka hamsini kwa timu yoyote ile na kutakuwa na funga nikufunge nyingi tu msimu huu na ubingwa utapatikana katika mechi mbili za mwisho na sio kama tulivyozoea mechi tano au sita kabla. Nauona ushinfani wa nguvu msimu huu.
Aliyeshinda jana anastahili kwa sababu ya kacheza na kushinda. Mpira unaweza kupiga pass alfu moja mashuti alfu moja kama hujafunga ni bure tu kuna team hata huko nje wanakaa nyuma tu wakienda mara moja mbele goal. Kwa jana ni Yanga wanastahili pongezi wamepata tulichokuwa tunakita wote. Hongera YangaMatokeo huyapti bila kucheza mpira, otherwise yanakuwa ni ya kubahatisha.
Tukubali tu kuwa jana tulizidiwa.!
Biashara matangazo mzeeMpira wa Tanzania una maajabu sana, mechi za sherehe zao sijui Simba Day au Mwananchi kila team imeweza kujaza uwanja kama wao na mechi za furaha tu lakini kwenye mechi inayotambulika team hizo mbili zimeshindwa kujaza uwanja kwa pamoja. shida ni nini? watu wanaenda kwenye hizi day kushangaa tu sio mapenzi au kule kuna janja janja ticket za bure mkajaze turingishe upande wa pili. Kuna mtu nimesikia promotion haikufanyika kwani hili tamasha? hii ni mechi ya kufungua msimu iko kwenye ratiba sasa promotion ya nini? Jana ndio ime reflect hali halisi ya team hizi mbili huku kwenye social media tunaucheza mwingi lakini uhalisia hakuna kitu.
Hapo umenena mkuu, Yanga wamepata walichostahili kulingana na namna walivyocheza.Aliyeshinda jana anastahili kwa sababu ya kacheza na kushinda. Mpira unaweza kupiga pass alfu moja mashuti alfu moja kama hujafunga ni bure tu kuna team hata huko nje wanakaa nyuma tu wakienda mara moja mbele goal. Kwa jana ni Yanga wanastahili pongezi wamepata tulichokuwa tunakita wote. Hongera Yanga