Wao ni bendera tu ,timu ikishinda wanaona ishamaliza kila kitu na eti haina udhaifuMashabiki wa bongo utawaweza ndugu.Ujuaji mwingi alafu hakuna kitu.Ligi ndo kwanza inaenda kuanza mtu anaongea maneno mengi utadhani timu inashuka daraja.
Duhhh mapya hayo ,tupe dondoo aiseeSikilizeni nyinyi wake zangu.
Timu imecheza vizuri. Jicho LA tatu linanambia kuanzia viongozi na baadhi ya wachezaji hawakuupa uzito huu mchezo.
Ni kama bado mwalimu anatafuta combination na haukuwa na uzito halisi sijui kwa nini?
Tulieni mtafakari akina Kibu, mkude, Morrison na wengine. Kwa mchezo was Leo kukosekana na maingizo Yale ya mabadiliko.
Kumekosekana mnyumbuliko na utashi lutokana na umuhimu wa game na matakwa ya waendesha ligi.
Sisi tunaojua siasa za mpira tunajua kwa mini Leo ilikuwa lazima Simba ifungwe.
Ufupi wa maneno. Protocol I zimelazimisha Simba ifungwe na simba yenyewe imeridhika.
Usiniulize kwa nini
Unaendeleza ujinga wako, nimekwambia ficha upumbavu wakoWewe ndo mjinga ,maana unaamini bila faulo Simba angefungwa nyingi kana kwamba kila faulo kwenye mpira inazaa goli wewe ni mjinga pure
So unamaanisha Yanga angeshinda goli 26-Simba 18
Ujinga kazi kweli hehehe
Wewe ndo mpumbavu unayeaamini kila faulo ingezaa goli 😂😂😂😂Unaendeleza ujinga wako, nimekwambia ficha upumbavu wako
Hii ni kujipa moyo na kujifariji tu.
Habari zimeandikwa na zero brain unazileta humu JF!
Kwa hiyo Al Ahly kachukua ligi ya kwao na mechi ya ufunguzi kashinda sio?Habari zimeandikwa na zero brain unazileta humu JF!
Kweli watu wengine vichwa maji
Kapombe kashuka sana kiwango hasa kwenye kupandisha timu, cross zake hazina macho na sikumbuki mara ya mwisho kupiga cross iliyozaa goli ilikuwa ni lini.Jicho langu la kimpira naona timu ni nzuri sana, isipokuwa beki ya kushoto na kulia kuna shida kidogo na beki ya kati lazima yule Kennedy acheze either na wawa ama onyango, onyango na wewe wako slow pamoja, kufungwa japo inauma, lakini ndiyo matokeo ya mpira
Shots on target Simba 3 Yanga 5. Labda kama unazungumzia shots off target ndio Simba imepiga nyingi kuliko YangaWao ni bendera tu ,timu ikishinda wanaona ishamaliza kila kitu na eti haina udhaifu
We tazama hata leo ,hakuna anayejiuliza ni kwa nini timu ya Yanga ilikuwa imeruhusu shots on target nyingi zaidi golini kwake kama Simba walikuwa dhaifu.Hawa watafungwa kirahisi next games afu Yanga wataanza kumsaka mchawi wao wanayedhani daima ni TFF
Tokea umezaliwa hadi utakufa hujawah ona na hutoona Yanga akiifunga Simba goli 3-0Lazima uridhike kucheza na wanaojua, kajitahidi sana kupigwa goli 1 ni ushindi kwake
Yanga kanifadhaisha sana timu mbovu kama nyau kushindwa ilalua hata 4-1
Sven ambae ukitoa chama timu inakua kama Mashujaa fc?Tatizo ni kocha na Mugalu wake, utadhani kamroga. Hafanyi lolote ndani na hamfanyii sub.
Wakati tunawa-miss Chama na Konde Boy, pengo lingine ni la Sven ambalo haliongelewi sana. Tangu Sven aondoke kiwango cha uchezaji kimeshuka sana na kutegemea sana kujaza ma-striker mfumo ambao tija yake ndogo kwani hawako clinical na hupoteza nafasi nyingi za magoli.
Bila kupepesa macho, Gomes hatufai Simba na mwaka huu hatuvuki makundi. Wanasema mpira ni biashara matokeo yake ndio haya. Kwa mimi nasema mpira ni wachezaji. Biashara haichezi mpira. Leo hii timu aliyokwenda Chama wakisema turudishieni pesa yetu na mumchukue Chama wenu, wana Simba wengi kama sio wote watasema tupeni Chama wetu. Biashara tulifanya lakini timu tuliiharibu. Afadhali tungekomaa na Chama, Miqueson aende. Pengo la Chama litatukaa vichwani kwa muda mrefu sana na hasa ukizingatia kiuwezo Bwalya ni kama nusu ya Chama.
Mwaka huu Simba itabidi ijihadhari sana kwani kila timu itakuja imepania kwa kudhani kuwa Simba sasa ni rahisi kufungika kutokana na kutokuwepo kwa wachazaji hao wawili.
Kwa mtazamo wangu mimi, ubingwa mwaka huu ni 40% Simba, 30% Yanga na 30% Azam. Na point za ubingwa mwaka huu hazitovuka hamsini kwa timu yoyote ile na kutakuwa na funga nikufunge nyingi tu msimu huu na ubingwa utapatikana katika mechi mbili za mwisho na sio kama tulivyozoea mechi tano au sita kabla. Nauona ushinfani wa nguvu msimu huu.
Hii ramli itakurudia si muda, Kule stani bakora alisema yanga akimfunga nyau Basi buggati akamtoleee posa kwa bibiake naamini kwa usiku wa leo ameshajifunza kulala Bila chupiTokea umezaliwa hadi utakufa hujawah ona na hutoona Yanga akiifunga Simba goli 3-0