Kauli ya MO jana kuwa “JUZI TUMEFUNGWA JANA TUKAFUNGWA MDOMO” hii imetuvuruga wana simba. Kila mwana simba anatapatapa.
Simba inahtaj kiongozi kama hanspope ambaye anaweza kutuliza hii hali ya hewa mbaya. Kesho tuna Azamni hatari kwa simba. Kupoteza na Azam ni upepo mubaya utakuja.
Simba watulie wafanye vitu professional waamini vijana kama kenedy, Phiri, Banda Lakini pia wanasimba tukubali siku chama akiwekwa benchi tuwe watulivu kama mashabiki wa Yanga aziz kukaa nje sio issue sisi Mungu mtu chama akikaa nje ni tatizo.
Hili ndio linalotutafuna kuamini chama ndio kila kitu kumbe kuna game zingine hazmuhtaji chama jamani.
Robertinho kesho anza na
Kakolanya
Israle, Kenedy, Inonga na Tshabalala
Kanoute, Mzamiru
Saido, Sakho, Kibu
Phiri