Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

IMG-20210113-WA0020.jpg
 
Attachments

  • IMG-20210113-WA0017.jpg
    IMG-20210113-WA0017.jpg
    27.6 KB · Views: 1
hadithi ya sungura sizitaki hizi mbichi,unguja mlifuata nini
Unguja tulifuata utaratibu tu ambao ulikua unatulazimu tupeleke kikosi na ndio maana management tuka kaa chini na kuamua tupeleke kikosi B

Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shughuli, mziki wa kipaimara ni tofauti na mziki tunaofunga kwenye harusi

mlitaka kile kikosi cha 4-1 tukilete hapo unguja kwa thamani gani ya kombe?
 
Tumekusikia mzungu wa kunduchi.
Huu ni ujumbe mahususi kwa Mashabiki wa soka nchini Tanzania , tunafahamu furaha ya Yanga ( Kipofu kaona mwezi ) , lakini sisi Simba tunalenga michuano ya CAF champions League tu .

Sitaki maswali .
 
Mzungu wenu anashangilia pia,kwani unateseka ukiwa wapi?
 
Yanga Azam nk Kama hawana umuhimu wanachezesha kikosi Cha pili au vijana kuwapa uzoefu.sasa mibabu Ile Onyango,Kagere huku wakiwa wamechanganyikiwa kukosa penalty.sema paka ameshindwa majukukumu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Angalia line up ya mechi ya klabu bingwa ndio ujue ni mchezaji mmoja tu alikuwepo zanzibar kati ya walioanza!
 
Yanga Azam nk Kama hawana umuhimu wanachezesha kikosi Cha pili au vijana kuwapa uzoefu.sasa mibabu Ile Onyango,Kagere huku wakiwa wamechanganyikiwa kukosa penalty.sema paka ameshindwa majukukumu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ujue walijuta kuwapeleka Likizo kina Chama, na Louis.....
Next time hawawezi kurudia Makosa, watasajiri kikosi kizima......

Walitamani kuwatumia kina Chama na Bwalya but hawakusajiriwa..
 
Back
Top Bottom