Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Matola imefahamika kwamba haviwezi viatu vya kishingoSimba wamefaidika sana na hii michuano.
Kwanza wameweza kuangalia viwango vya wachezaji waliokuwa hawapati nafasi mara kwa mara.
Pili uwezo wa matola kama kocha akiachiwa timu umeonekana.
Tatu imeonekana haja ya kutafuta mkuu mapema