Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

hadithi ya sungura sizitaki hizi mbichi,unguja mlifuata nini
Unguja tulifuata utaratibu tu ambao ulikua unatulazimu tupeleke kikosi na ndio maana management tuka kaa chini na kuamua tupeleke kikosi B

Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shughuli, mziki wa kipaimara ni tofauti na mziki tunaofunga kwenye harusi

mlitaka kile kikosi cha 4-1 tukilete hapo unguja kwa thamani gani ya kombe?
 
Tumekusikia mzungu wa kunduchi.
Huu ni ujumbe mahususi kwa Mashabiki wa soka nchini Tanzania , tunafahamu furaha ya Yanga ( Kipofu kaona mwezi ) , lakini sisi Simba tunalenga michuano ya CAF champions League tu .

Sitaki maswali .
 
Your browser is not able to display this video.

Mzungu wenu anashangilia pia,kwani unateseka ukiwa wapi?
 
Angalia line up ya mechi ya klabu bingwa ndio ujue ni mchezaji mmoja tu alikuwepo zanzibar kati ya walioanza!
 
Ujue walijuta kuwapeleka Likizo kina Chama, na Louis.....
Next time hawawezi kurudia Makosa, watasajiri kikosi kizima......

Walitamani kuwatumia kina Chama na Bwalya but hawakusajiriwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…