Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

Simba wamefaidika sana na hii michuano.
Kwanza wameweza kuangalia viwango vya wachezaji waliokuwa hawapati nafasi mara kwa mara.
Pili uwezo wa matola kama kocha akiachiwa timu umeonekana.
Tatu imeonekana haja ya kutafuta mkuu mapema
Matola imefahamika kwamba haviwezi viatu vya kishingo
 
Hivi hawa Bodaboda FC madai ya kupeleka timu B inatoka wapi hebu niambie Kahata Kagere Dilunga Onyango Ajibu Miraji Mgalu Nk tangu lini wakawa timu B?
 
Umetishaaaaaaaah.
 
Hongereni timu ya Yanga kwa kupata furaha leo.
Najua amtalala usiku wa leo kwa ushindi wa milioni 15 sawa na ist moja new model,spark plag nne na galoni la lita10 za Oil ya kufanyia service.
Issue sio 15m au za paka mweusi 18m.kuishinda Simba ndio kitu Bora na na Cha furaha

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…