gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Simba tunahitaji point 1 tu dhidi ya bravos ili tufuzu, kivipi yaani? Tukipata sare tunafikisha alama 10 bravos anabakiwa na alama zake 7, bravos kama atamfunga cs sfaxien kwenye mchezo wake wa mwisho huko tunisia atafikisha alama 10 sawa na sisi.
Je sheria za CAF zinasemaje timu zinapolingana alama? Haya wasikie wenyewe wanavyosema; Timu zinapolingana alama CAF wanaangalia head to head, so kwenye head to head bravos tutakuwa tumemzidi;
Fist leg:Simba 1 Bravos 0. So sisi waleee
Kama cs constantine atashinda dhidi ya cs sfaxien atafikisha alama 12 atakuwa kafuzu mechi ya mwisho kwa mkapa itakuwa ni mechi ya kumtafuta nani ataongoza kundi na kuweka heshima mjini ili tusizoeane. Na mwarabu tutambandua mpaka aseme yote na siku hiyo tutachana pakti 4 za koundom.
Wale wengine nzi wa kijani shughuli yao ndio imeishia hapa wavae vijora wakacheze rede.