Simba tunahitaji pointi moja(1) tu ili tufuzu robo fainali CAFCC, wewe je?

Simba tunahitaji point 1 tu dhidi ya bravos ili tufuzu, kivipi yaani? Tukipata sare tunafikisha alama 10 bravos anabakiwa na alama zake 7, bravos kama atamfunga cs sfaxien kwenye mchezo wake wa mwisho huko tunisia atafikisha alama 10 sawa na sisi.

Je sheria za CAF zinasemaje timu zinapolingana alama? Haya wasikie wenyewe wanavyosema; Timu zinapolingana alama CAF wanaangalia head to head, so kwenye head to head bravos tutakuwa tumemzidi;
Fist leg:Simba 1 Bravos 0. So sisi waleee

Kama cs constantine atashinda dhidi ya cs sfaxien atafikisha alama 12 atakuwa kafuzu mechi ya mwisho kwa mkapa itakuwa ni mechi ya kumtafuta nani ataongoza kundi na kuweka heshima mjini ili tusizoeane. Na mwarabu tutambandua mpaka aseme yote na siku hiyo tutachana pakti 4 za koundom.

Wale wengine nzi wa kijani shughuli yao ndio imeishia hapa wavae vijora wakacheze rede.
Timu yako iyo unajipa matumaini ya kumfunga bravo kwao? Bravo anakuchapa kwao na yeye anakwenda kuchukua alama kwa kibonde wa kundi sfaxien na Constantine usidhani ni mdebwedo kama hao sfaxien angalau wanako kaunafuu kidogo kumfunga kwa mkapa utaitaji ukusanye waganga wote wawepo kwa mkapa vinginevyo utoboi pale
 
CAFCC ya sasa hivi haina mvuto tena kwani haishirikishi champion hata mmoja. Zamani machampions kadhaa waliokuwa wakitolewa kwenye hatua za awali walikuwa wanajumuishwa kwenye CAFCC na kuifanya ichangamke.
 
Ndio maana ya kundi la kifo mkuu, ni kuombea ubaya na kupambana kufa au kupona.
Hakuna kundi la kifo hapo mc alger na al hilal wanafuzu mapema tu yanga hamna chenu tafuteni vijora mkacheze rede ndio mchezo mnaouweza
 
CAFCC ya sasa hivi haina Mbuya tena kwani haishirikishi champion hata mmoja. Zamani machampions kadhaa waliokuwa wakitolewa kwenye hatua za awali walikuwa wanajumuishwa kwenye CAFCC na kuifanya ichangamke.
Msimu ule yanga mnatolewa halafu mnaenda shirikisho timu gani bingwa alikuwa shirisho kati ya hizi?
Al ahly
Mamelodi
Wydad
Raja
Esperance
Petro de luanda
Zamalek
 
Timu yako iyo unajipa matumaini ya kumfunga bravo kwao? Bravo anakuchapa kwao na yeye anakwenda kuchukua alama kwa kibonde wa kundi sfaxien na Constantine usidhani ni mdebwedo kama hao sfaxien angalau wanako kaunafuu kidogo kumfunga kwa mkapa utaitaji ukusanye waganga wote wawepo kwa mkapa vinginevyo utoboi pale
Sisi hatuitaji kumfunga bravos tunahitaji sare tu tuende zetu robo fainali. Haahaahaah
 
Al Ahly anafuzu bila shida, labda Mamelod akijichanganya kidogo tu, ataaga mashindano.

Pia CAF siyo klabu bingwa tu, acha kupotosha.

Timu kama Simba, Rs Berkane, Zamalek, Al Masry au Constantine ni bora kuliko Yanga, Tp Mazembe, Djoliba, Stella Abdjan n.k, ambazo ziko kusindikiza huko klabu bingwa
Hujui mpira mkuu yaani Timu ambazo hazijawahi kufika nusu finally ziwe bora kuliko Timu iliyochukua ubingwa wa Afrika mara tano na kucheza fainal ya Dunia kwa level ya virabu na Inter Milan wakafungwa goli tatu na wakina Samweli Eto'o Fills ni vile haujui kuwa hizo Timu zingine nazo zimekua bora zaidi ndio maana unaona Mazembe anapata tabu kupata matokeo.
 
Hamuoni aibu kundi bovu namna hiyo kushindwa kuongoza? Mngekuwa kundi la mabingwa Hilal, Alger na Mazembe si mngekuwa hamna point hata moja?

Ndio maana huwa nasema ushindi huko shirikisho ni sare ligi ya mabingwa.

Msilete habari za kuongoza kundi la mabingwa enzi za marehemu Magufuli, hiyo story imeshapita.
Daah jamani huyu mtoto stress zitamuuwa anajiuliza swali mwenyewe halafu anajijibu mwenyewe.
 
Hamuoni aibu kundi bovu namna hiyo kushindwa kuongoza? Mngekuwa kundi la mabingwa Hilal, Alger na Mazembe si mngekuwa hamna point hata moja?

Ndio maana huwa nasema ushindi huko shirikisho ni sare ligi ya mabingwa.

Msilete habari za kuongoza kundi la mabingwa enzi za marehemu Magufuli, hiyo story imeshapita.
Kwamba anaeongoza kundi ni nani 🤔Kwenye kundi lenu nyuma mwiko hadi kufikia sasa hivi kama ingekua ni Simba ingekua imeshafuzu robo finalised muda mrefu Al hilal ndio wangekua wanatafuta nafasi ya pili, mmepangiwa timu muozo namna hiyo mnashindwa kufuzu alafu unatuletea taarabu kama mwaii anatolewa nje 🤔
 
Simba tunahitaji point 1 tu dhidi ya bravos ili tufuzu, kivipi yaani? Tukipata sare tunafikisha alama 10 bravos anabakiwa na alama zake 7, bravos kama atamfunga cs sfaxien kwenye mchezo wake wa mwisho huko tunisia atafikisha alama 10 sawa na sisi.

Je sheria za CAF zinasemaje timu zinapolingana alama? Haya wasikie wenyewe wanavyosema; Timu zinapolingana alama CAF wanaangalia head to head, so kwenye head to head bravos tutakuwa tumemzidi;
Fist leg:Simba 1 Bravos 0. So sisi waleee

Kama cs constantine atashinda dhidi ya cs sfaxien atafikisha alama 12 atakuwa kafuzu mechi ya mwisho kwa mkapa itakuwa ni mechi ya kumtafuta nani ataongoza kundi na kuweka heshima mjini ili tusizoeane. Na mwarabu tutambandua mpaka aseme yote na siku hiyo tutachana pakti 4 za koundom.

Wale wengine nzi wa kijani shughuli yao ndio imeishia hapa wavae vijora wakacheze rede.
Ukweli huu hapa. Simba anaweza kupata point moja na bado akatolewa, iwapo hiyo point moja ataipata kutoka kwa Costantine. Simba anatakiwa kupata point moja kutoka kwa Bravo. Bravo akimfunga simba na Sfaxien, na Constatine akapata draw na simba, imeisha hiyo
Wenye kujua hesabu watanielewa
 
Hujui mpira mkuu yaani Timu ambazo hazijawahi kufika nusu finally ziwe bora kuliko Timu iliyochukua ubingwa wa Afrika mara tano na kucheza fainal ya Dunia kwa level ya virabu na Inter Milan wakafungwa goli tatu na wakina Samweli Eto'o Fills ni vile haujui kuwa hizo Timu zingine nazo zimekua bora zaidi ndio maana unaona Mazembe anapata tabu kupata matokeo.
Tp mazembe ni timu mbovu kwa sasa hivi usituletee historia hapa mazembe enzi zake katika kundi lenye vibonde kama hawa tayari angekuwa kashafuzu but so sad naye kawa kibonde.

Timu za shirisho kama berkane,zamalek,usm alger,simba ni bora kuliko timu za klabu bingwa kama djoliba,stade d'abdjan,maniema,yanga,mazembe
 
Ukweli huu hapa. Simba anaweza kupata point moja na bado akatolewa, iwapo hiyo point moja ataipata kutoka kwa Costantine. Simba anatakiwa kupata point moja kutoka kwa Bravo. Bravo akimfunga simba na Sfaxien, na Constatine akapata draw na simba, imeisha hiyo
Wenye kujua hesabu watanielewa
Upo sahihi, Simba inatakiwa kupata point 1 kwa bravo itambeba kwenye head to head kama Bravo akishinda dhidi ya CS Sfaxien. Ila akifungwa dhidi ya Bravo, sare dhidi ya Constantine haitokuwa nzuri kwake labda sare iongozwe na maombi ya Bravo ifungwe dhidi ya CS Sfaxien
 
Kufungwa 4 bila sio ticket ya Simba kumfunga Tena kwao nadhani kawaangalie Tena mechi zao wanapokuwa uwanja wao wa nyumbani utapata jibu,,
Bravos wanafunguka sana wanapokuwa nyumbani hii inawafanya waache magepu na waruhusu magoli kirahisi ndio maana hadi sasa hivi kwenye mechi 2 za nyumbani wameruhusu magoli 4 hii sio nzuri kwao lakini pia hii ni faida kwetu so kama huyo sfaxien aliweza kupata magoli 2 tena la tatu wakifungwa kwa uzembe wao sisi simba tunashindwaje kupata magoli.

Sisi simba katika mechi 4 tulizocheza tumefunga kila mechi.
 
Tp mazembe ni timu mbovu kwa sasa hivi usituletee historia hapa mazembe enzi zake katika kundi lenye vibonde kama hawa tayari angekuwa kashafuzu but so sad naye kawa kibonde.

Timu za shirisho kama berkane,zamalek,usm alger,simba ni bora kuliko timu za klabu bingwa kama djoliba,stade d'abdjan,maniema,yanga,mazembe
Ubovu wa Tp Mazembe umekuja baada ya kucheza na Yanga? Mbona hapo awali hamkusema kama Mazembe wabovu? Msimu uliopita si wamecheza nusu fainali hawa Mazembe
 
Back
Top Bottom