Simba tunahitaji pointi moja(1) tu ili tufuzu robo fainali CAFCC, wewe je?

Yes sisi fainali yetu ni dhidi ya bravos kama tunataka kufuzu mapema bila presha wala tukiwaki inabidi tupate alama moja by anymeans.
 
Hebu ona aibu, Kundi la Yanga ni kundi gumu!!!??? Al Hilal kila mwaka amajitafuta, amewapiga sababu ya uchovu wenu ila nakuhakilishia kwa Mnyama angekufa. Mazembe ndo kabisa tusimzungumzie, hali tete! Alger ndo pekee ambaye Simba angegawana naye points labda na Mnyama angekuwa kileleni.
 
Tukumbushane pia kufungwa ni sehemu ya mchezo,sio tunaisifia timu ikifanya vizuri,ikija kuharibu tunaanza mara kocha hafai,sijui Nani ndevu zake zinawatisha wachezaji,mara that,mara this.
 
Asikudanganye mtu, timu bora zipo klabu bingwa .
 
TP Mazembe sasa hivi hamna timu, historia yake nzuri ila currently hawana timu na hali imekuwa mbaya zaidi tangu wawe banned na FIFA
TP Mazembe inaweza isimalize top 4 kama ikija ligi ya bongo kwa form yao ya sasa.
 
Tukumbushane pia kufungwa ni sehemu ya mchezo,sio tunaisifia timu ikifanya vizuri,ikija kuharibu tunaanza mara kocha hafai,sijui Nani ndevu zake zinawatisha wachezaji,mara that,mara this.
Nipo na SIMBA milele hata ifungwe 100 hata tusipofuzu.

Kasome uzi wangu unaitwa "NASIMAMA NA SIMBA, NASIMAMA NA CAMARA" watu wote humu baada ya kufungwa na yanga waliikataa simba wakamkataa na kamara lakini mimi peke yangu nilisimama kuitetea simba.

Kuhusu simba nimekunywa maji ya bendera.
 
TP Mazembe sasa hivi hamna timu, historia yake nzuri ila currently hawana timu na hali imekuwa mbaya zaidi tangu wawe banned na FIFA
TP Mazembe inaweza isimalize top 4 kama ikija ligi ya bongo kwa form yao ya sasa.
TP waliuza wachezaji 6 kabla ya ban huyo rasta anaekichafua alikuwepo kwenye soko baada ya kufungiwa ikabidi wasitishe pana kipa kutoka Nigeria ila kwa sasa wanamtumia kama mfungaji mechi ya MC Alger alitoka Fofana akaingia huyo striker ila alisajiriwa kama kipa kutokana na kufungiwa wakapandisha wachezaji kutoka Don bosco ambayo ni academy yao..katumbi aliuza wachezaji sita wa first eleven ili anunue wengine akakutana na hiyo ban ndio kwisha ya Mazembe msimu huu..
 
Ndio maana ya kundi la kifo mkuu, ni kuombea ubaya na kupambana kufa au kupona.
Ikiwa group A ni kundi la kifo je group C,D na E wasemaje sasa.

Bila kuficha group A ni group jepesi sana.
 
Bado hamjasema...mkae kwa kutulia,mwiko utazama huo.
 
Alaa kwahiyo story za simba tu ndio zinapita ila zenu huwa hazipiti maana kila kukicha hamuachi kukumbushia, hoja ni kwamba mahali mnapofika ninyi mkiwa na kikosi kizuri simba anaweza kufika akiwa na kikosi kibovu kabisa, msimu uliopita cafcl simba aliishia robo fainali akiwa na kikosi kibovu ambacho karibu mashabiki wote walikikatia tamaa ila ninyi na kikosi chenu bora mliishia robo fainali hiyo hiyo
 
Kwa hiyo Djoliba ni bora kuliko Simba, Zamalek au Rs Berkane?
Ndio hivyo mkuu, msimu huu ni bora kama zipo klabu bingwa maana ndio kipimo hicho.
Hata points za kurank hupatikana huku kwa waliobora.
 
Msimu ule yanga mnatolewa halafu mnaenda shirikisho timu gani bingwa alikuwa shirisho kati ya hizi?
Al ahly
Mamelodi
Wydad
Raja
Esperance
Petro de luanda
Zamalek
CAF in mabingwa takriban 50, siyo hao uliotaja tu
 
Una Calculator hapo tupige mahesabu ya Yanga kufuzu?
 
Hao ndio bora kwa sasa afrika.
Hata horseed ni bingwa huko somalia.
Kulikuwa na mabingwa wa nchi zao kama ifuatavyo:

TP Mazembe
ASEC Mimosas
Real Bamako
AS FAR Rabat
Yanga
Plateau United
RS Berkane

Na nyingezo jumla 16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…