isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
FC Uster, inadhaminiwa Adidas, jezi yetu inauzwa 42,000 (Home), 34,000 (Away) na 28,000 (Alternate). 20,000 (100 Polyester).Bro unajua kuwa , hizo kampuni pia zinaweza kutengeneza jezi za qualty ya chini Ili kuendna na soko husika!?
gormahia pale kenya wanavaa umbro Kama sikosei, fc leopard ya kenya wanavaa Puma ama umbro na wao..ni kwamba wakenya na mashabiki zao wananunua jezi kwao dola 100? Ambayo ni sawa na zaidi ya laki Moja!?
Kuna klabu Rwanda inadhaminiwa na Puma jezi yake inauzwa 38,000 kwa pesa TZS.
Santo Domingo de los Colorados ya Ecuador inadhaminiwa na Nike, jezi zake range ni 35,000 to 50,000 TZS.
Jezi nyingi za Yanga SC na Simba SC ni 100 Polyester.