Wacha mpigwe tu! Nyie akina nani bwana!!mo please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. kuna viongozi wanatuhujumu. kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na african lyon na prison na tushinde stand timu ngumu.
simba tusimameni inara tuchukue ubingwa ile kauli ya upande wa pili ya kuwa haitatokea simba ichukue ubingwa yawezekana inatumaliza kwa baadhi kutuhujumu. Kocha mzuri asiguswe
Kaka miili ya akina Polepole haiwezi kuhimili mikikimikiki, kuweni wapole tu na hapo ndo kipondo kimeanza kila mkichungulia ugenini tu kipondo!! Kwa hizi mechi mlizopigwa mfululizo ikatokea tu tena mkafungwa Msimbazi hakutakalika!!mo please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. kuna viongozi wanatuhujumu. kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na african lyon na prison na tushinde stand timu ngumu.
simba tusimameni inara tuchukue ubingwa ile kauli ya upande wa pili ya kuwa haitatokea simba ichukue ubingwa yawezekana inatumaliza kwa baadhi kutuhujumu. Kocha mzuri asiguswe
Acheni ujinga nyinyi, mtachelewa kujipanga bure na kulia lia kwenu!!! Inamaana nyinyi hamtakiwi kufungwa? Ukijua kushinda ujue na kufungwa!!!! Zina shindwa timu kubwa ulaya zina chukua ubingwa lakini zina fungwa, nyinyi ni nani dunia hii?mo please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. kuna viongozi wanatuhujumu. kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na african lyon na prison na tushinde stand timu ngumu.
simba tusimameni inara tuchukue ubingwa ile kauli ya upande wa pili ya kuwa haitatokea simba ichukue ubingwa yawezekana inatumaliza kwa baadhi kutuhujumu. Kocha mzuri asiguswe
Bado mapema umeanza kelele je,vipondo vinavyokuja utasemaje .........???mo please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. kuna viongozi wanatuhujumu. kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na african lyon na prison na tushinde stand timu ngumu.
simba tusimameni inara tuchukue ubingwa ile kauli ya upande wa pili ya kuwa haitatokea simba ichukue ubingwa yawezekana inatumaliza kwa baadhi kutuhujumu. Kocha mzuri asiguswe
Mpira ni maarifa tuu maguvu hayasaidii sana muone Ozil au Messi wanavocheza soft football ila kamkabe gone atakavokuabishaJiulize Yule kocha mnyasa wa Mbeya city alivyosema tumewafunga Yanga lakini ilikuwa mechi ngumu kuliko tulivyofungwa na simba.. Hata kocha wa prisons amerudia maneno hayo... Kama mpenda mpira wa miguu wachezaji wa simba hawako na nguvu na maumbo madogo inakuwa ni Kazi nyepesi kwa timu zenye kutumia nguvu sana... Na pengine walitumia nguvu zao zote kwenye mechi 13 na sasa wamechoka... Kwa mwendo huu Yanga bingwa...
Hivi chai ya rangi na Chapati za Mama Mariam zinaweza vipi kumfanya mchezaji acheze mechi kumi na tano na akabaki na nguvu? Kichuya kama nyenyere,akikutana Midume anapotezwa,hata mechi ya Mbao fc,ilikuwa kwa kudra za Mungu tuu,ilibidi sisi Wamatopeni fc tupigwe.Mpira unadunda kaka na kwenye viwanja vya ugenini ambavyo havina viwango ni changa moto kubwa kwa wachezaji
Halafu inabidi ufahamu pia kuwa timu za mikoani zinakamia sana timu za dar.
Hivyo basi acheni fikra potofu ya kutafuta mchawi.
Unadhani kwa nini ukanda wetu hatuna wachezaji wengi timu kubwa ulaya... Wanyama angekuwa na umbo kama mkude angecheza spurs.. Figure it outMpira ni maarifa tuu maguvu hayasaidii sana muone Ozil au Messi wanavocheza soft football ila kamkabe gone atakavokuabisha