Simba tunahujumiwa

Simba tunahujumiwa

Huu ndo msosi wa wachezaji wetu

Duh! Mkuu hapo nafananisha na Drogba alivyokuwa anapata breakfast pale New Africa, kuku mzima mmoja, mikate mitatu, juice lita mbili na matunda kadhaa!! Hapo huyo kichuya anapiga chapati kavu na chai?? Aaaaaah Avevaaaaa chi chawa hiyooo!
 
Mpira ni maarifa tuu maguvu hayasaidii sana muone Ozil au Messi wanavocheza soft football ila kamkabe gone atakavokuabisha
Ulizia uzito wa Messi au Ozil halafu umlinganishe na kichura wetu au Mazugo
 
MO please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. Kuna viongozi wanatuhujumu. Kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na African Lyon na Prison na tushinde Stand uD timu ngumu.

Simba tusimameni imara tuchukue ubingwa ile kauli ya upande wa pili ya kuwa haitatokea Simba ichukue ubingwa yawezekana inatumaliza kwa baadhi kutuhujumu.

Kocha mzuri asiguswe
Mkishinda mnajiita wa mwendokasi mkitobolewa mnahujumiwa na bado mtapigwa sana ngoja turudi
 
Mpira ni maarifa tuu maguvu hayasaidii sana muone Ozil au Messi wanavocheza soft football ila kamkabe gone atakavokuabisha
Messi kilo 74 na ozil kilo 84 ..
Kichuya. Mzamiru. Mkude. Ndemla wakiwa na uzito huo watakuwa na vitambi..
Chai kavu na chapati mbili... Ndio maana wachezaji wa simba dream yao kucheza Yanga
 
Messi kilo 74 na ozil kilo 84 ..
Kichuya. Mzamiru. Mkude. Ndemla wakiwa na uzito huo watakuwa na vitambi..
Chai kavu na chapati mbili... Ndio maana wachezaji wa simba dream yao kucheza Yanga
Na Yule wanayemsingizia jina la Shabalala tayari,yuko karibu na kuitimiza ndoto yake ya kuchezea Yanga.
 
Back
Top Bottom