Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Wacha mpigwe tu! Nyie akina nani bwana!!mo please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. kuna viongozi wanatuhujumu. kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na african lyon na prison na tushinde stand timu ngumu.
simba tusimameni inara tuchukue ubingwa ile kauli ya upande wa pili ya kuwa haitatokea simba ichukue ubingwa yawezekana inatumaliza kwa baadhi kutuhujumu. Kocha mzuri asiguswe