Huu ndo msosi wa wachezaji wetu
Ulizia uzito wa Messi au Ozil halafu umlinganishe na kichura wetu au MazugoMpira ni maarifa tuu maguvu hayasaidii sana muone Ozil au Messi wanavocheza soft football ila kamkabe gone atakavokuabisha
Mkishinda mnajiita wa mwendokasi mkitobolewa mnahujumiwa na bado mtapigwa sana ngoja turudiMO please ichukue timu kimya kimya kuna viongozi wanatuhujumu kabisa. Kuna viongozi wanatuhujumu. Kuna baadhi ya viiongozi wanauza mechi sio kawaida kufungwa na African Lyon na Prison na tushinde Stand uD timu ngumu.
Simba tusimameni imara tuchukue ubingwa ile kauli ya upande wa pili ya kuwa haitatokea Simba ichukue ubingwa yawezekana inatumaliza kwa baadhi kutuhujumu.
Kocha mzuri asiguswe
Maguri anachezea Simba?Messi na Maguri nani ana mwili mkubwa?
Messi kilo 74 na ozil kilo 84 ..Mpira ni maarifa tuu maguvu hayasaidii sana muone Ozil au Messi wanavocheza soft football ila kamkabe gone atakavokuabisha
Na Yule wanayemsingizia jina la Shabalala tayari,yuko karibu na kuitimiza ndoto yake ya kuchezea Yanga.Messi kilo 74 na ozil kilo 84 ..
Kichuya. Mzamiru. Mkude. Ndemla wakiwa na uzito huo watakuwa na vitambi..
Chai kavu na chapati mbili... Ndio maana wachezaji wa simba dream yao kucheza Yanga