SIMBA TUNAJIPA SIFA NYINGI ZA KIPUMBAVU.

SIMBA TUNAJIPA SIFA NYINGI ZA KIPUMBAVU.

just imagine hawa madogo wamesafiri umbali mrefu tokea kigoma mpaka dar,.. Piga picha Sio Kwa ndege ni Kwa bus,. Tena Timu ambayo aina kiwango Chochote Hata kwenye ligi yao wanavurunda tu,. Alafu Wanacheza vizuri Kuliko hawa jamaa ambao Wametoka kula milioni 4...inaboa sana,.. Hawa wapuuz hawafai, hawatatupeleka Popote pale

Kikosi kilichoanza jana choote abakie ndemla Na juuko,. Waliobaki woote Fukuza, coulibally Sijui Kwann wamemsajili huyo bonge nyanya,
Unatupangia mtu anaitwa selemani, rashidi wapuuzi sana Wanacheza na jukwaa, Fukuza kichuya ..
Huyo dida afai kukaa Hata benchi, .
Punguza hasira Mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale vijana wa Mashujaa siku ile walipiga mpira mkubwa.
Pasi ya goli wanaitengeneza toka katikati ya uwanja.
Yaani ni burudani tupu, naomba siku watakayocheza tena mnistue niwaangalie tena.
Ingawa nimesikitika kwa timu yangu pendwa kufungwa lakini kama mwana michezo nasema kweli kuwa siku ile tulistahili kufungwa zaidi ya goli tatu.
Tatizo lao ni moja tu walilolifanya ni kwamba kipindi cha kwanza walicheza kwa woga wa kuiogopa Simba.
Walipoenda mapumziko kocha akawaambia vijana fungukeni na chezeni mpira niliowafundisha kama kufungwa tushafungwa na hatuna cha kupoteza.
Vijana wakarudi wakacheza mpira mkubwa wakapata matokeo.
Pongezi kwao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu, unaweza kuweka source ya hii taarifa ili wadau wengine tuweze kuipitia. Ahsante
Ni 'fake' hyo, mkuu... check hayo maandish ya chin kabisa. Iweje watangaze tareh ya draw disemba 28 ilhal leo ndo siku husika!!?
 
Habari wanajukwaa.
Nikiwa kama shabiki wa simba naumia sana na mwendo wa klabu yetu katika mechi muhimu lakini timu inafanya vibaya.
Ligi wakati inaanza tulikuwa tunatoa sareza kijinga na kujikuta tunaambulia na kipigo cha mbao wakati huo tunaowaita mikia wakikusanya points muhimu pamoja na kuwa na halo ngumu.Wakati huo mashabiki sisi tukijivunia uwepo was kina kangwere na mboko ambao hawajaweza kutuweka kileleni mwa ligi huku tukiwacheka kina makambor pamoja na ukata wao Leo wametuacha points nyingi kwa halo iliyofikia had sasa ubingwa wa ligi tumekosa hivyo ligi ya mabingwa mwakani hatushiriki hill jambo lipo wazi.
Kama ligi imetushinda basi tungezingatia kombe LA shirikisho ili kujihakikishia tunapata hill kombe na kushiriki kombe LA shirikisho mwakani kwa siasa za lile zeruzeru na wajinga wenzake kujitia kumshauri kocha apange kikosi cha walevi hatimae MASHUJAA wametufunga mabakuli.Manara namuona mngese sana na wenzake wanamshauri sana yule kocha siamini kama yule kocha anaijua mashujaa mpaka apange ungese ule ushauri wa yule zeruzeru ndo chanzo.
TUMAINI CAF CHAMPIONS LEAGUE hapa sasa ndoto za watu wapumbavu ndo zilipojaa kuwaza kuwa SIMBA itachukua kombe LA CAF ili ishiriki tena mashindano mwakani yani huu ni ungese.......yaani ungese msifikiri Africa nzima imejaa kina NKANA na MBABANE na kujipa matumaini huyu CHAMA ataweza kufunga goli zake mbele ya Zamarek ama mazembe.
Huu ni upumb huyu manara alee familia anakiranga sana mwakani tubaki hapa hapa ili bakuli LA manara lifunge.

wewe Ndugu ni Simba kweli??!! Au umevaa ngozi ya Simba kumbe ndani ni....tehtehtehteh
 
Back
Top Bottom