Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Punguza hasira Mzeejust imagine hawa madogo wamesafiri umbali mrefu tokea kigoma mpaka dar,.. Piga picha Sio Kwa ndege ni Kwa bus,. Tena Timu ambayo aina kiwango Chochote Hata kwenye ligi yao wanavurunda tu,. Alafu Wanacheza vizuri Kuliko hawa jamaa ambao Wametoka kula milioni 4...inaboa sana,.. Hawa wapuuz hawafai, hawatatupeleka Popote pale
Kikosi kilichoanza jana choote abakie ndemla Na juuko,. Waliobaki woote Fukuza, coulibally Sijui Kwann wamemsajili huyo bonge nyanya,
Unatupangia mtu anaitwa selemani, rashidi wapuuzi sana Wanacheza na jukwaa, Fukuza kichuya ..
Huyo dida afai kukaa Hata benchi, .
Sent using Jamii Forums mobile app