Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Punguza hasira Mzeejust imagine hawa madogo wamesafiri umbali mrefu tokea kigoma mpaka dar,.. Piga picha Sio Kwa ndege ni Kwa bus,. Tena Timu ambayo aina kiwango Chochote Hata kwenye ligi yao wanavurunda tu,. Alafu Wanacheza vizuri Kuliko hawa jamaa ambao Wametoka kula milioni 4...inaboa sana,.. Hawa wapuuz hawafai, hawatatupeleka Popote pale
Kikosi kilichoanza jana choote abakie ndemla Na juuko,. Waliobaki woote Fukuza, coulibally Sijui Kwann wamemsajili huyo bonge nyanya,
Unatupangia mtu anaitwa selemani, rashidi wapuuzi sana Wanacheza na jukwaa, Fukuza kichuya ..
Huyo dida afai kukaa Hata benchi, .
Mashujaa hawana wake?Ngono na mpira, mbali mbali
Nadhan ndio tatizo wake zao walitaka wafanye siku ya sikuu hil furaha iwe kubwa zaid.
Imeumiza match sasa
Ni 'fake' hyo, mkuu... check hayo maandish ya chin kabisa. Iweje watangaze tareh ya draw disemba 28 ilhal leo ndo siku husika!!?Samahani mkuu, unaweza kuweka source ya hii taarifa ili wadau wengine tuweze kuipitia. Ahsante
Habari wanajukwaa.
Nikiwa kama shabiki wa simba naumia sana na mwendo wa klabu yetu katika mechi muhimu lakini timu inafanya vibaya.
Ligi wakati inaanza tulikuwa tunatoa sareza kijinga na kujikuta tunaambulia na kipigo cha mbao wakati huo tunaowaita mikia wakikusanya points muhimu pamoja na kuwa na halo ngumu.Wakati huo mashabiki sisi tukijivunia uwepo was kina kangwere na mboko ambao hawajaweza kutuweka kileleni mwa ligi huku tukiwacheka kina makambor pamoja na ukata wao Leo wametuacha points nyingi kwa halo iliyofikia had sasa ubingwa wa ligi tumekosa hivyo ligi ya mabingwa mwakani hatushiriki hill jambo lipo wazi.
Kama ligi imetushinda basi tungezingatia kombe LA shirikisho ili kujihakikishia tunapata hill kombe na kushiriki kombe LA shirikisho mwakani kwa siasa za lile zeruzeru na wajinga wenzake kujitia kumshauri kocha apange kikosi cha walevi hatimae MASHUJAA wametufunga mabakuli.Manara namuona mngese sana na wenzake wanamshauri sana yule kocha siamini kama yule kocha anaijua mashujaa mpaka apange ungese ule ushauri wa yule zeruzeru ndo chanzo.
TUMAINI CAF CHAMPIONS LEAGUE hapa sasa ndoto za watu wapumbavu ndo zilipojaa kuwaza kuwa SIMBA itachukua kombe LA CAF ili ishiriki tena mashindano mwakani yani huu ni ungese.......yaani ungese msifikiri Africa nzima imejaa kina NKANA na MBABANE na kujipa matumaini huyu CHAMA ataweza kufunga goli zake mbele ya Zamarek ama mazembe.
Huu ni upumb huyu manara alee familia anakiranga sana mwakani tubaki hapa hapa ili bakuli LA manara lifunge.