SIMBA TUNAJIPA SIFA NYINGI ZA KIPUMBAVU.

SIMBA TUNAJIPA SIFA NYINGI ZA KIPUMBAVU.

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
152
Reaction score
221
Habari wanajukwaa.
Nikiwa kama shabiki wa simba naumia sana na mwendo wa klabu yetu katika mechi muhimu lakini timu inafanya vibaya.
Ligi wakati inaanza tulikuwa tunatoa sareza kijinga na kujikuta tunaambulia na kipigo cha mbao wakati huo tunaowaita mikia wakikusanya points muhimu pamoja na kuwa na halo ngumu.Wakati huo mashabiki sisi tukijivunia uwepo was kina kangwere na mboko ambao hawajaweza kutuweka kileleni mwa ligi huku tukiwacheka kina makambor pamoja na ukata wao Leo wametuacha points nyingi kwa halo iliyofikia had sasa ubingwa wa ligi tumekosa hivyo ligi ya mabingwa mwakani hatushiriki hill jambo lipo wazi.
Kama ligi imetushinda basi tungezingatia kombe LA shirikisho ili kujihakikishia tunapata hill kombe na kushiriki kombe LA shirikisho mwakani kwa siasa za lile zeruzeru na wajinga wenzake kujitia kumshauri kocha apange kikosi cha walevi hatimae MASHUJAA wametufunga mabakuli.Manara namuona mngese sana na wenzake wanamshauri sana yule kocha siamini kama yule kocha anaijua mashujaa mpaka apange ungese ule ushauri wa yule zeruzeru ndo chanzo.
TUMAINI CAF CHAMPIONS LEAGUE hapa sasa ndoto za watu wapumbavu ndo zilipojaa kuwaza kuwa SIMBA itachukua kombe LA CAF ili ishiriki tena mashindano mwakani yani huu ni ungese.......yaani ungese msifikiri Africa nzima imejaa kina NKANA na MBABANE na kujipa matumaini huyu CHAMA ataweza kufunga goli zake mbele ya Zamarek ama mazembe.
Huu ni upumb huyu manara alee familia anakiranga sana mwakani tubaki hapa hapa ili bakuli LA manara lifunge. Hapa ndo utajua ujinga alionao huyu manara muda wa kufatilia taarifa muhimu za timu na kutujuza anatumia kugombana na DAUDA ambae hausiki na SIMBA hata kidogo.Manara kwani hawezi kutolewa Simba tupate msemaji mzuri anaejua taaluma yake.
Ukweli utabaki palepale kuwa hamna mpira wa mdomoni baada ya kufanya vizuri mechi moja kuwafunga waarabu yaliyotukuta kila mtu anayajua leo simba ikiwa uwanja wa nyumbani inashindwa kupambana na timu ndogo zilizobaki kuchukua kombe la sportpesa uwezo wetu ukilinganishwa na timu kama mbao.
Manara na uparaa wako endelea kujitapa mnaharibu timu yetu halafu unasema simba sio baba yako kama ndivyo kaungane na baba yako huko ndala FC tuachie timu ipate afisa habari anaejua kazi yake.
 
Ngono na mpira, mbali mbali
Nadhan ndio tatizo wake zao walitaka wafanye siku ya sikuu hil furaha iwe kubwa zaid.
Imeumiza match sasa
Haya machezaji jana yamenikera sitaki kuwa mnafiki.

Kwani Simba wakisikia Mashujaa huwa wanakosa nguvu!
 
Mimi mwana jangwani ila lugha ya staha inafikisha ujumbe mzuri kuliko ulivyomuandika manara hapana sidhani kama sahihi kumuandika hivyo kuhusu rangi yake. Pili nyinyi hujinasibu kuwa mna kikosi kipana basi jana tumekiona hicho kikosi. Tatu nimependa tahadhali ulotoa kuhusu huko penye makundi kiukweli umeona mbali na kwa haki ni pagumu sana huko.
 
Habari wanajukwaa.
Nikiwa kama shabiki wa simba naumia sana na mwendo wa klabu yetu katika mechi muhimu lakini timu inafanya vibaya.
Ligi wakati inaanza tulikuwa tunatoa sareza kijinga na kujikuta tunaambulia na kipigo cha mbao wakati huo tunaowaita mikia wakikusanya points muhimu pamoja na kuwa na halo ngumu.Wakati huo mashabiki sisi tukijivunia uwepo was kina kangwere na mboko ambao hawajaweza kutuweka kileleni mwa ligi huku tukiwacheka kina makambor pamoja na ukata wao Leo wametuacha points nyingi kwa halo iliyofikia had sasa ubingwa wa ligi tumekosa hivyo ligi ya mabingwa mwakani hatushiriki hill jambo lipo wazi.
Kama ligi imetushinda basi tungezingatia kombe LA shirikisho ili kujihakikishia tunapata hill kombe na kushiriki kombe LA shirikisho mwakani kwa siasa za lile zeruzeru na wajinga wenzake kujitia kumshauri kocha apange kikosi cha walevi hatimae MASHUJAA wametufunga mabakuli.Manara namuona mngese sana na wenzake wanamshauri sana yule kocha siamini kama yule kocha anaijua mashujaa mpaka apange ungese ule ushauri wa yule zeruzeru ndo chanzo.
TUMAINI CAF CHAMPIONS LEAGUE hapa sasa ndoto za watu wapumbavu ndo zilipojaa kuwaza kuwa SIMBA itachukua kombe LA CAF ili ishiriki tena mashindano mwakani yani huu ni ungese.......yaani ungese msifikiri Africa nzima imejaa kina NKANA na MBABANE na kujipa matumaini huyu CHAMA ataweza kufunga goli zake mbele ya Zamarek ama mazembe.
Huu ni upumb huyu manara alee familia anakiranga sana mwakani tubaki hapa hapa ili bakuli LA manara lifunge.
We yanga. Tulia.
 
Ko ulitaka wachezaji wasajiliwe wale pesa za bure wasicheze?
Kila siku ukiwachezesha kina Okwi huoni watapata fatiki.....
Sidhani kama ww ni simba na ni shabiki wa mpira....
Kama ndivyo basi umekuja baada ya ushindi wa Nkana....
 
Draw tayri
IMG-20181227-WA0052.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sio shabiki wa Simba sc, tafadhari.
Iheshimu timu ya Simba na Viongozi wake.
Usipofunzwa na wazazi utafunzwa na ulimwengu kama utaendelea na hiyo tabia yako chafu.
Wewe hujahusika katika kumsajiri mchezaji yeyote wa Simba sc.
Kama timu yako huwa haifungwi basi baki na timu yako.
Sisi kama Simba Sports huwa tunakubali matokeo yoyote ya mchezo na bado tunaijenga timu yetu.
Nasema tena, jifunze tabia njema la sivyo utakuja kuyakumbuka maneno yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ko ulitaka wachezaji wasajiliwe wale pesa za bure wasicheze?
Kila siku ukiwachezesha kina Okwi huoni watapata fatiki.....
Sidhani kama ww ni simba na ni shabiki wa mpira....
Kama ndivyo basi umekuja baada ya ushindi wa Nkana....
Yaani wewe na manara ni wale wele mnajifanya mnajua maneno ya kitaalamu Sana hiyo fatiki unaijua wewe waache wacheze kama kufa wafe muhimu ushindi.
 
Yaani wewe na manara ni wale wele mnajifanya mnajua maneno ya kitaalamu Sana hiyo fatiki unaijua wewe waache wacheze kayma kufa wafe muhimu ushindi.
Aseee mpira haupo hivyo ndo maana kukawa na idadi kubwa ya wachezaji....sio kwa ajili ya mapambo wanatakiwa kucheza
 
just imagine hawa madogo wamesafiri umbali mrefu tokea kigoma mpaka dar,.. Piga picha Sio Kwa ndege ni Kwa bus,. Tena Timu ambayo aina kiwango Chochote Hata kwenye ligi yao wanavurunda tu,. Alafu Wanacheza vizuri Kuliko hawa jamaa ambao Wametoka kula milioni 4...inaboa sana,.. Hawa wapuuz hawafai, hawatatupeleka Popote pale

Kikosi kilichoanza jana choote abakie ndemla Na juuko,. Waliobaki woote Fukuza, coulibally Sijui Kwann wamemsajili huyo bonge nyanya,
Unatupangia mtu anaitwa selemani, rashidi wapuuzi sana Wanacheza na jukwaa, Fukuza kichuya ..
Huyo dida afai kukaa Hata benchi, .
 
Wana msimbazi hebu tupunguze munkali tuangalie mechi zinazofuata. Haya yote kocha kayaona na natumai atayafanyia kazi. Ila kibarua cha kutafuta ukimataifa kwa msimu ujao tunamwachia mungu maana tuko pabaya aiseee!!!
 
Back
Top Bottom