Simba tunaomba CAF watupangie Mamelodi robo fainali

Simba ya Matola hii 99-2002 bado ujazaliwa enzi izo amna njumu kuna zile nyatunzo za kibitoz apo kulikua naYusuph macho na yule mnyakyusa ambae ni kocha wa pamba ya mwanza Uchawi ndo penyewe sasa
Walikuwepo victor costa nyumba akina swed, akina ulimboka, alafu kuna pawasa huyo matola, juma k juma na masawe na wengineo enzi hizo za simba imara Yanga makopo.
 
Ndugu, sisi wanyama wenzako hii dua yako hatuitaki, hapa tulipo hatupati usingizi tunawazia balaa la pale Casablanca. Kheri kukutana na Esperance ila hawa Brazilians wa bondeni hapana hawana huruma wanaweza kutupiga hata 8. Tuweke ushabiki pembeni, timu letu mwaka huu ni ya kawaida.
 
Kwani Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Madunduka/Mipang'ang'a/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume/Kolowizards mmeshafika robo fainali ya CAF 2022/2023?

mbwembwe zote za Dubai ziliishia kwa Azam FC ila bado tu mnang'aka kama chiriku [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yote kwa kwa yote!! Jina maarufu ni UTOPOLO.
 
Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns.

Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40.

Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba kidomo domo cha hao Yanga wa bondeni waliochangamka ni Simba Sc.

Mafanikio ya mnyama Simba ni pamoja na kuwaziba vidomo domo Al Ahly, berkane, kaizer, vita, asec, zamalek, nkana, orlando, vipers waliomtoa mazembe, el merreikh, al hilal na kibonde horoya ambaye ntamfunga zaidi ya goli 7 estadio lupaso!

Mods naombeni mnisaidie kuwatag caf najua wapo humu JF.View attachment 2548041
Ndugu kumbuka tulikuwa na Morrison wakati huo.

Ni watu wapumbavu tu wanaodharau mchango wa Morrison kwenye ushindi wa mechi za kimataifa
 
Matokeo yalikuwaje? Au umeandika tu, umekurupuka kisa mumeo kaenda toilet?
Zamalek aliaga mashindano, wakati huo akishikilia Kombe la Klabu Bingwa Afrika, na akiwa ametoka kuchukua upya ubingwa wa ligi yao ya Misri, na wakapanga sherehe za huo ubingwa zifanyike jioni hiyo baada ya mechi ya Simba kuisha. Sherehe zilivunjika na washabiki waliifanyia sana fujo timu yao na kuchoma vitu barabarani
 
Ndugu kumbuka tulikuwa na Morrison wakati huo.
Ni watu wapumbavu tu wanaodharau mchango wa Morrison kwenye ushindi wa mechi za kimataifa
Morrison alichangia mechi moja ya hapa Dar, kule South Afrika hakwenda kabisa kwa hofu ya kukamatwa, ana kiporo cha msala wake kule, wanasubiri tu akanyage airport wamdake
 
Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns.

Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40.

Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba kidomo domo cha hao Yanga wa bondeni waliochangamka ni Simba Sc.

Mafanikio ya mnyama Simba ni pamoja na kuwaziba vidomo domo Al Ahly, berkane, kaizer, vita, asec, zamalek, nkana, orlando, vipers waliomtoa mazembe, el merreikh, al hilal na kibonde horoya ambaye ntamfunga zaidi ya goli 7 estadio lupaso!

Mods naombeni mnisaidie kuwatag caf najua wapo humu JF.View attachment 2548041

Mtatiwa Vibaya [emoji23], Aggregate Lazima Isome 9-0 [emoji1787]
 
Mkuu umesema kweli kama Simba itafuzu basi timu ya kuipigia chapuo tuipate ni mamelod japo wanaupiga mwingi lakin ndio afadhali kwetu KULIKO wengine.

Nimefuatilia wale wyadad Kuna vitu wanatumia sio Bure kwann hawachoki uwanjani na wanaweza kucheza dk hata 150
 
Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns.

Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40.

Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba kidomo domo cha hao Yanga wa bondeni waliochangamka ni Simba Sc.

Mafanikio ya mnyama Simba ni pamoja na kuwaziba vidomo domo Al Ahly, berkane, kaizer, vita, asec, zamalek, nkana, orlando, vipers waliomtoa mazembe, el merreikh, al hilal na kibonde horoya ambaye ntamfunga zaidi ya goli 7 estadio lupaso!

Mods naombeni mnisaidie kuwatag caf najua wapo humu JF.View attachment 2548041
Hiko kichwa cha huyo nyuma hapo ni rim za tairi au?
 
Hata makundi hujavuka unaanza kujitoa akili
 
Mmeshamiss kuliwa kiboga na mabasha wenu, hivi robo fainali makolo wameingia lini?
 
Mamelody sundowns are playing direct football no back pass no time wasting only single touch they play quick and direct football completely modern football of this generation.
 
Back
Top Bottom