Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns.
Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40.
Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba kidomo domo cha hao Yanga wa bondeni waliochangamka ni Simba Sc.
Mafanikio ya mnyama Simba ni pamoja na kuwaziba vidomo domo Al Ahly, berkane, kaizer, vita, asec, zamalek, nkana, orlando, vipers waliomtoa mazembe, el merreikh, al hilal na kibonde horoya ambaye ntamfunga zaidi ya goli 7 estadio lupaso!
Mods naombeni mnisaidie kuwatag caf najua wapo humu JF.
View attachment 2548041