Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitarudi kukutag
Pole sana simba ushindi wake kwa sasa ni draws tu..tofauti na hapo ni kipigo.Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea robo tayari, Ila Morocco punda afe mzigo ufike.
NIONGEZE VOLUME AU WOTE MMESIKIA VIZURI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Yanga tu ndo inaweza kufunga na ipo mkiani mwa kundi.Pole sana simba ushindi wake kwa sasa ni draws tu..tofauti na hapo ni kipigo.
Hakuna timu simba itaifunga kwenye haya mashindamo kwa level ya sasa.
Tena kwa kichapo cha aibu toka msimu umeanza..3 kwa 0
Watapata majibu yao kesho na MediamaTena kwa kichapo cha aibu toka msimu umeanza..3 kwa 0
Sawa mkuu
Namna ya kuongoza hii kundi ni kugeuza hii picha juu chiniWydad sio Vipers
Nibadili ID ya nini wakati tunaenda robo fainaliUkinyamaza tu baadaye mkashinda utakuwa umepoteza nini na je mkifungwa utasemaje au ndio utaingia mitini au utabadili ID mazima.
We shall remain here as witnesses.
Uzuri majibu yenu tutayapata mapema huko Ghana halafu yetu ndo yanafuataMjitahidi kula. Sidhani kama mna sababu ya kushinda njaa.
Pozi gani hili!!!!Ilo jambo liko wazi kabsa View attachment 2835790
6 mkuu sio 4Wydad anachukua point 4 kwa simba.