Simba tunashinda Morocco

Simba tunashinda Morocco

Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea robo tayari, Ila Morocco punda afe mzigo ufike.

NIONGEZE VOLUME AU WOTE MMESIKIA VIZURI!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana simba ushindi wake kwa sasa ni draws tu..tofauti na hapo ni kipigo.
Hakuna timu simba itaifunga kwenye haya mashindamo kwa level ya sasa.
 
Ukinyamaza tu baadaye mkashinda utakuwa umepoteza nini na je mkifungwa utasemaje au ndio utaingia mitini au utabadili ID mazima.

We shall remain here as witnesses.
 
Wydad sio Vipers
Namna ya kuongoza hii kundi ni kugeuza hii picha juu chini
Screenshot_2023-12-07-19-38-00-333~3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom