Simba tunataka kurudia kosa lile lile

Simba tunataka kurudia kosa lile lile

Kanoute na Mazimiru wote ni pure box to box midfield, hatuna namba 6 halisi, hatuna holding au hata playmaker wa chini
 
Kuna fundi anaitwa banfa sylla,ni kiboko ya watoto,weka mbali kabisa huyo.
 
Kumuachia Kakolonya kuandoka ulikuwa uamuzi mbovu, wangempa mkataba mzuri abaki kwa sababu pesa wanayo enda kuilipa kwa kumleta kipa foreigner itakuwa zaidi ya alicho omba Kakolanya. Maamuzi yamefanyika ya roho mbaya na kukomoana, typical roho za kitz.
Sielewi ni kwanini Simba ilimdharau Kakolanya.
Kakolanya na Manula kiwango chao kinalingana tu.

Unamwacha Kakolanya unambakisha Ally Salim.
Simba hawako makini kwenye Usajiri.
Leo Okwa anadai kuwa alikuwa hachezi kwa Amri ya viongozi.

Okwa ambaye hata timu ya Ihefu hakuwa katika kikosi cha Kwanza.
Mchezaji wa kimataifa wa Simba Okwa.
 
Back
Top Bottom