Simba tunataka kurudia kosa lile lile

Kanoute na Mazimiru wote ni pure box to box midfield, hatuna namba 6 halisi, hatuna holding au hata playmaker wa chini
 
Kuna fundi anaitwa banfa sylla,ni kiboko ya watoto,weka mbali kabisa huyo.
 
Sielewi ni kwanini Simba ilimdharau Kakolanya.
Kakolanya na Manula kiwango chao kinalingana tu.

Unamwacha Kakolanya unambakisha Ally Salim.
Simba hawako makini kwenye Usajiri.
Leo Okwa anadai kuwa alikuwa hachezi kwa Amri ya viongozi.

Okwa ambaye hata timu ya Ihefu hakuwa katika kikosi cha Kwanza.
Mchezaji wa kimataifa wa Simba Okwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…