Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress anadhihirisha,
Wanyamapori hawakutakiwa kukaa katika zoo au cages, Zoo na Cages ni mojawapo ya vumbuzi mbaya zaidi za binadamu kwa wanyamapori zilizotokana na maendeleo. Simba Tundu Lissu aachiliwe arudi mwituni atambe, Tanzania hatuhitaji zoo au cage kwa wanyamapori.