Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Mzee Chama wa nini tena kuendelea naye?Nakuunga mkono, Ila hapo kwenye wachezaji wakuachwa tunapishana kidogo- hasa ma- pro- wachezaji wapo tatizo nadhani bajeti ndogo ya usajili- Kama lengo ni kufanya vizuri kimataifa- wachezaji mapro wakubaki ni wawili tu- Enock Inonga- na Clotus Chama.