Simba tuondoe wachezaji kwa heshima

Nakuunga mkono, Ila hapo kwenye wachezaji wakuachwa tunapishana kidogo- hasa ma- pro- wachezaji wapo tatizo nadhani bajeti ndogo ya usajili- Kama lengo ni kufanya vizuri kimataifa- wachezaji mapro wakubaki ni wawili tu- Enock Inonga- na Clotus Chama.
Mzee Chama wa nini tena kuendelea naye?
 
Ni mapema sana kustafisha timu nzima, tuwape mda na mapumziko ya kutosha
Wananchi tutawapasua kila wakati tukikutana hadi mstaafishe timu nzima na mrudi ligi ya championship

Mikia hamjui tatizo ni nani kila mshabiki anasema lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…