Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

Yaani Kwa Mkapa ni either Horoya afungwe na Simba au Simba amfunge Horoya. Hakuna nafasi ya matokeo mengine yoyote yale tofauti na haya mawili.
Nyie ndio mnao zimiaga na kuwa Sumbua maaskari.
 
Simba ikishajihakikishia kuvuka hata huko Morocco isiende au iende ikacheze mfumo wa 6-4-0, lol. Kwa kuwaangalia wale Raja jana, hawatishi kihivyoo, walikuta Simba wenyewe wamepanga kikosi vibaya na wachezaji waliingia kwa hofu.
Hivi Raja unawajua vizuri wakiwa kwao? Yaani hapa kwa Mkapa hawakufunguka,ungetizama game ya Horoya na Vipers ndipo ungewa elewa. Jana tu Horoya walikuwa na defence nzuri, tena hata goli la pili wamepigwa dk ya 90.Nyie na mabeki wenu wazee, mmekoswa koswa mnakula kama za Vipers.

Horoya nao sio wabaya, sitoshangaa wakipata matokea kwa Raja.
 
Yaani Kwa Mkapa ni either Horoya afungwe na Simba au Simba amfunge Horoya. Hakuna nafasi ya matokeo mengine yoyote yale tofauti na haya mawili.
Mkuu nimeona una tatizo kidogo katika ubongo wako Kuna nati moja haipo! Nyie hamna Timu Wala fomesheni ya kuipiga Horoya na Vipers mliwaotea tu
 
Save this comment....!!!!
 
Simba ikishajihakikishia kuvuka hata huko Morocco isiende au iende ikacheze mfumo wa 6-4-0, lol. Kwa kuwaangalia wale Raja jana, hawatishi kihivyoo, walikuta Simba wenyewe wamepanga kikosi vibaya na wachezaji waliingia kwa hofu.
Ngoja tu tuamini hivi
 
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.

March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9.

March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila hata kama Horoya atachukua point 3 kwa Vipers, bado atakuwa amefikisha point 8.
Aloyetutia mkosi huo ni Ibenge na imetimia.
 
Unazungumzia hii simba 🦁 ya papatupapatu au?
 
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.

March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9.

March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila hata kama Horoya atachukua point 3 kwa Vipers, bado atakuwa amefikisha point 8.
Haya maneno yangekua yanacheza sasa hivi mngekua na points 9
 
March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5.

March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9.

March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila hata kama Horoya atachukua point 3 kwa Vipers, bado atakuwa amefikisha point 8.
Mungu ibariki Simba Sc
 
Kwanini timu kubwa inakiri kupoteza kwa Raja?
 
simba mnapata wapi nguvu za kuidharau horoya ambaye aliwapasua BAO Moja,horoya anaweza shinda hata Kwa mkapa au ku droo
 
Ni vizuri kujipa moyo Ili watu wasimame wakaze Buti, chochote kinaweza kutokea. Kilichobaki Sasa ni kuombea Fulani afungwe.
 
Back
Top Bottom