Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Maombi mkuu tusije tukatia aibu kama juzi hapo tulivyo oshwa 3 woshiKwahiyo ?
Kwahiyo issue ni maombi ama jitihada na mikakati kabambe uwanjani leo?Maombi mkuu tusije tukatia aibu kama juzi hapo tulivyo oshwa 3 woshi
Mpira wa Afrika ngumu kutoboa ugenini kaka.. hata utumie uchawi siunakumbuka kilichotupata southKwahiyo issue ni maombi ama jitihada na mikakati kabambe uwanjani leo?
Dah kweli kabisa kaka nasikia na yule mshambuliaje wao anaitwa karisa ameapia sana lazima atugonge kwahiyo nashauri tusiingie kinyume nyumeHakikisheni kwamba hamfungwi magoli mengi, ikumbukwe kocha wa vipers hii gemu akipoteza kibarua kinaota nyasi. Na gemu za kuamua kibarua cha kocha huwa sio nyepesi kabisa.
Kwahiyo Leo wataka kunihakikishakwa njia yoyote leo lazima tufungwe?Mpira wa Afrika ngumu kutoboa ugenini kaka.. hata utumie uchawi siunakumbuka kilichotupata south
Mpira dakika 90 uwanjani, hayo ni maneno kabla ya mechi lakini bado gemu ni ngumu. Haiishi mpaka iisheDah kweli kabisa kaka nasikia na yule mshambuliaje wao anaitwa karisa ameapia sana lazima atugonge kwahiyo nashauri tusiingie kinyume nyume
Tatizo wazee wetu hawawezi mikikimiki ndani ya dk 90. Na vipers wanacheza soka la kasi sitegemei matokeo mengine zaidi ya haya Vipers 3:Old boysMpira dakika 90 uwanjani, hayo ni maneno kabla ya mechi lakini bado gemu ni ngumu. Haiishi mpaka iishe
😂 kweli mmejikatia tamaaTatizo wazee wetu hawawezi mikikimiki ndani ya dk 90. Na vipers wanacheza soka la kasi sitegemei matokeo mengine zaidi ya haya Vipers 3:Old boys
Mimi ni simba damu damuWanga huwa hamkosekani.
Soka la kasi kama ile siku yenu ya mwezini wananchi mlipolazwa 2 kaavu?Tatizo wazee wetu hawawezi mikikimiki ndani ya dk 90. Na vipers wanacheza soka la kasi sitegemei matokeo mengine zaidi ya haya Vipers 3:Old boys
Tulia we shabiki andaziNaona mcheza uchi fc umekuja kupiga ramli
Hapana sio mbili ni tatu mzuka mbona unakua msahaulifu dadang au mechi uliangalizia ukiwa clinic?Soka la kasi kama ile siku yenu ya mwezini wananchi mlipolazwa 2 kaavu?