Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Mimi ni simba damu damu ila kusema kweli sioni kama tutatoboa kimataifa.
Timu imekata tamaa kama mjane mwenye watoto saba.
Fikiria tumepigwa na horoya
Tumepigwa 3 kavu na raja
mpaka mwekezaji anacoment nakujijibu mwenyewe huko twitter.
Hii timu imejikatia tamaa vibaya mpaka kocha anashangilia sare kwa goli la kujifunga jamani jamani hali ni mbaya
Kusema kweli naleo tutapelekewa moto mpaka tuchakae