Simba tutapelekewa moto leo

Simba tutapelekewa moto leo

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Mimi ni simba damu damu ila kusema kweli sioni kama tutatoboa kimataifa.
Timu imekata tamaa kama mjane mwenye watoto saba.
Fikiria tumepigwa na horoya
Tumepigwa 3 kavu na raja
mpaka mwekezaji anacoment nakujijibu mwenyewe huko twitter.
Hii timu imejikatia tamaa vibaya mpaka kocha anashangilia sare kwa goli la kujifunga jamani jamani hali ni mbaya
Kusema kweli naleo tutapelekewa moto mpaka tuchakae
 
Hakikisheni kwamba hamfungwi magoli mengi, ikumbukwe kocha wa vipers hii gemu akipoteza kibarua kinaota nyasi. Na gemu za kuamua kibarua cha kocha huwa sio nyepesi kabisa.
 
Dah kweli kabisa kaka nasikia na yule mshambuliaje wao anaitwa karisa ameapia sana lazima atugonge kwahiyo nashauri tusiingie kinyume nyume
 
Naona Timu mangungu leo wamemuita Rage kampala akawasaidie kuongeza hamasa, Siku zote maji yakizidi unga lazima uukumbuke ata unga ulioharibika🤣🤣🤣🤣
 
Dah kweli kabisa kaka nasikia na yule mshambuliaje wao anaitwa karisa ameapia sana lazima atugonge kwahiyo nashauri tusiingie kinyume nyume
Mpira dakika 90 uwanjani, hayo ni maneno kabla ya mechi lakini bado gemu ni ngumu. Haiishi mpaka iishe
 
Tatizo wazee wetu hawawezi mikikimiki ndani ya dk 90. Na vipers wanacheza soka la kasi sitegemei matokeo mengine zaidi ya haya Vipers 3:Old boys
 
Soka la kasi kama ile siku yenu ya mwezini wananchi mlipolazwa 2 kaavu?
 
Hapana sio mbili ni tatu mzuka mbona unakua msahaulifu dadang au mechi uliangalizia ukiwa clinic?
 
Back
Top Bottom