Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 #1 Nadhani Kila mtu anaelewa kuwa hawa wananchi wakituwahi kuvaa jezi nyeusi ......basi tumekwisha Nini kifanyike Japo hatuna jadi ya kuwa na jezi nyeusi ila naomba uongozi ulifanyie hili uwepesi tupate hizo jezi bila hivyo ....sisi MAKOLO derby ni Kwaheri, Naomba kuwasilisha hoja .....
Nadhani Kila mtu anaelewa kuwa hawa wananchi wakituwahi kuvaa jezi nyeusi ......basi tumekwisha Nini kifanyike Japo hatuna jadi ya kuwa na jezi nyeusi ila naomba uongozi ulifanyie hili uwepesi tupate hizo jezi bila hivyo ....sisi MAKOLO derby ni Kwaheri, Naomba kuwasilisha hoja .....
Jemima Mrembo JF-Expert Member Joined Jul 19, 2021 Posts 2,864 Reaction score 8,328 Apr 13, 2023 #3 John Boko sasa amekuwa witch doctor
XII Tz JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 4,345 Reaction score 7,076 Apr 13, 2023 #4 Akiba ya maneno ni muhimu sana hususani wakati huu tunapoelekea kwenye derby
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #5 Madihani said: Sawa Click to expand... Tuendelee kusisitiza Kwa mwamedi
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #6 Jemima Mrembo said: John Boko sasa amekuwa witch doctor Click to expand... Wanazidi kupigana misumali
Jemima Mrembo said: John Boko sasa amekuwa witch doctor Click to expand... Wanazidi kupigana misumali
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #7 XII Tz said: Akiba ya maneno ni muhimu sana hususani wakati huu tunapoelekea kwenye derby Click to expand... Yanga mechi kashaimaliza .... that's y Hana pressure
XII Tz said: Akiba ya maneno ni muhimu sana hususani wakati huu tunapoelekea kwenye derby Click to expand... Yanga mechi kashaimaliza .... that's y Hana pressure
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Apr 13, 2023 #8 Safari hii tunaanzia Msamvu mpaka kwa Mkapa Kinyumenyume na Fuso.
XII Tz JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 4,345 Reaction score 7,076 Apr 13, 2023 #9 Labani og said: Yanga mechi kashaimaliza .... that's y Hana pressure Click to expand... Hilo lipo wazi, mnatuwezaga kwenye uchawi tu, uwanjani hamtuwezi
Labani og said: Yanga mechi kashaimaliza .... that's y Hana pressure Click to expand... Hilo lipo wazi, mnatuwezaga kwenye uchawi tu, uwanjani hamtuwezi
M makwega7 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2018 Posts 3,037 Reaction score 3,316 Apr 13, 2023 #10 Kwa muda uliobaki labda wazitengeneze hapa hapa Dar. Bila hivyo zitakwama njiani kama kawaida ya siku zote.
Kwa muda uliobaki labda wazitengeneze hapa hapa Dar. Bila hivyo zitakwama njiani kama kawaida ya siku zote.
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Apr 13, 2023 #11 Uzi kinyesi,unajaza servers tu
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Apr 13, 2023 #12 Ila mganga wa yanga ni kiboko, hivi yanga lini kabadirisha toka kijani na njano kwenda nyeusi acheni ushirikina utopolo wakubwa.
Ila mganga wa yanga ni kiboko, hivi yanga lini kabadirisha toka kijani na njano kwenda nyeusi acheni ushirikina utopolo wakubwa.
NAHAL JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,670 Reaction score 3,281 Apr 13, 2023 #13 Acha kuweweseka Dogo,,,Mambo Badoo
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #14 joseph1989 said: Safari hii tunaanzia Msamvu mpaka kwa Mkapa Kinyumenyume na Fuso. Click to expand... Yaaah mkuu...bila kuroga....hatutoboi
joseph1989 said: Safari hii tunaanzia Msamvu mpaka kwa Mkapa Kinyumenyume na Fuso. Click to expand... Yaaah mkuu...bila kuroga....hatutoboi
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #15 XII Tz said: Hilo lipo wazi, mnatuwezaga kwenye uchawi tu, uwanjani hamtuwezi Click to expand... Vp mbona na sisi tunawasha moto uwanjani + kurudi Kinyume -nyume
XII Tz said: Hilo lipo wazi, mnatuwezaga kwenye uchawi tu, uwanjani hamtuwezi Click to expand... Vp mbona na sisi tunawasha moto uwanjani + kurudi Kinyume -nyume
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #16 makwega7 said: Kwa muda uliobaki labda wazitengeneze hapa hapa Dar. Bila hivyo zitakwama njiani kama kawaida ya siku zote. Click to expand... Tutaomba mudi afanye wepesi
makwega7 said: Kwa muda uliobaki labda wazitengeneze hapa hapa Dar. Bila hivyo zitakwama njiani kama kawaida ya siku zote. Click to expand... Tutaomba mudi afanye wepesi
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #17 Smart AJ said: Uzi kinyesi,unajaza servers tu Click to expand... Wanalunyasi hatutukani
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #18 desayi said: Ila mganga wa yanga ni kiboko, hivi yanga lini kabadirisha toka kijani na njano kwenda nyeusi acheni ushirikina utopolo wakubwa. Click to expand... Hapana mkuu ....nasisi Simba tuvae nyeusi
desayi said: Ila mganga wa yanga ni kiboko, hivi yanga lini kabadirisha toka kijani na njano kwenda nyeusi acheni ushirikina utopolo wakubwa. Click to expand... Hapana mkuu ....nasisi Simba tuvae nyeusi
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 13, 2023 Thread starter #19 Babu Fyee said: Acha kuweweseka Dogo,,,Mambo Badoo Click to expand... Bila jezi nyeusi?????
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Apr 13, 2023 #20 Madini ya uhakika ,uwe unanitag siku nyingi unapokuja na nondo kama hizi.