Simba tuvae jezi nyeusi kwenye mechi

Simba tuvae jezi nyeusi kwenye mechi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Nadhani Kila mtu anaelewa kuwa hawa wananchi wakituwahi kuvaa jezi nyeusi ......basi tumekwisha

Nini kifanyike

Japo hatuna jadi ya kuwa na jezi nyeusi ila naomba uongozi ulifanyie hili uwepesi tupate hizo jezi bila hivyo ....sisi MAKOLO derby ni Kwaheri,

Naomba kuwasilisha hoja .....

1681213499849.jpg
 
Back
Top Bottom