Simba ubingwa wa point za rushwa haunogi chezeni mpira

Tunajua hamumpendi kwa sababu tangu awe mwenye kiti wa Yanga hamjawahi kuchukua ubingwa mara nyingi zaidi kuliko Yanga.
Mwenzenu anafawanyisha biashara nyie mnaona kama anawasaidia...ameshajuwa kama ili kuwadanganya wana yanya inabidi awanunulie ubingwa..wakati yeye anapiga pesa ndefu sana...mara kawapeleka uturuky..mara brazili..nyie mnabeba tu mabegi...bila kuangalia... .siku mkatishe anga za watu tutapoteza timu nzima kwa kifungo....ona sasa anawadai BILIONI moja...mtalipa kweli hizo?team mkodisho?sijawahi kuona team inakodishwa duniani..ndy kwnz yanga...mimi najuwa kinachokodishwa ni bodaboda...GENGE..chumba....tax nk...lakini sio...sio klabu ya soka...
 
swali ninalopenda ulijibu kwenye hio hoja yako ni;-

Je tambwe alifunga bao la mkono?

Quote hii post ukijibu NDIO/HAPANA
Alishika kwza...kishika peke yake ni kosa...halafu akauweka chini akafungq
 
HAHAHA we jamaa unanifurahisha...

kwa hivyo hata game ya Azam ambayo tuliowapiga KIMOJA CHA UKWEZI pale Taifa Manji kamtumia pesa BAKHRESA kupitia TIGO PESA?πŸ˜€πŸ˜€
Kwani ukisikia timu inauzwa unadhani inauzwa timu nzima?wachezaji ndio wanauza timu..unaweza ukawapa wachezaji 4 muhimu pesa..wakafungisha...ndy kilichotokea kwa azam..
 
Alishika kwza...kishika peke yake ni kosa...halafu akauweka chini akafungq

Mbona unakwepakujibu swali?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

jibu swali kwanza......

Je Tambwe alifunga lile bao kwa "MKONO" au kwa "MGUU"

Usiogope kujibu swali
 
Kwani ukisikia timu inauzwa unadhani inauzwa timu nzima?wachezaji ndio wanauza timu..unaweza ukawapa wachezaji 4 muhimu pesa..wakafungisha...ndy kilichotokea kwa azam..

UNAMAANISHA WAKINA AISHI MANULA(aliyekuwa kipa game ile)

YULE MGHANA (mlinzi wa kati)

WOTE WALIPOKEA MPUNGA KUTOKA KWA MANJI........?πŸ˜€πŸ˜€
 
....ona sasa anawadai BILIONI moja.....

Mbona unapenda kuongea vitu visivyo na uthibitisho?

Nimekuomba uthibitisho kuhusu MIAMALA YA TIGO PESA YA MANJI........Ukaniambia hauna huo uthibitisho

Sasa unaongelea deni la Yanga SC analoidai yanga.......nikikuambia unionyeshe stakabadhi ya uthibitisho wa hili deni unaweza kuonyesha au nalo utashindwa kuonyesha...

Nataka tujadili kwa vithibitisho ,,,,na ndio maana mimi sijazungumza lolote lenye kuhitaji uthibitisho.
 
Ninachozungumzia ni kuonekana kwa wazee wa yanga na mbuzi mweusi na JOGOO MWENYE kipara...uwanja wa kaitaba kabla ya mechi ya simba..wale wazee walifata nn siku ile?au yanga ilikuwa na mechi?

Haya hapa tena! nakuona unazungumzia nadharia.....

kwanini usizungumzie suala lenye uhalisia......ngoja sasa nikuombe uthibitisho tena wa picha wa hiko unachokidai kukiona kaitaba....

au simu uliweka chaji ukashindwa kupiga picha?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwenzenu anafawanyisha biashara nyie mnaona kama anawasaidia......

Mimi kama shabiki hayo mengine ya kuhusu biahsara hayanihusu...wajibu wangu ni kuona YANGA AFRIKA anabeba ndoo tu basi....

Hayo mengine hayanihusu.....
 
Mbona unakwepakujibu swali?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

jibu swali kwanza......

Je Tambwe alifunga lile bao kwa "MKONO" au kwa "MGUU"

Usiogope kujibu swali
Wataalamu wa soka kabla hawajahalalisha bao kwnz wanaangalia mazingira ya goal..kwn goal la offside linapokataliwa si linafungwa na mguu?mbona linakataliwa..sasa tambwe alifanya faulo kwnz ndy akafunga
 
UNAMAANISHA WAKINA AISHI MANULA(aliyekuwa kipa game ile)

YULE MGHANA (mlinzi wa kati)

WOTE WALIPOKEA MPUNGA KUTOKA KWA MANJI........?πŸ˜€πŸ˜€
Sijuwi ni yupi kati ya hao..ila walikula pesa..ndy maana azam baada ya kuwa na wanachama wakaanza kuihujumu...figisu figisu kibao
 
Kwani Simba ndo wameweka hizo kanuni? Sheria ni msumeno Una kata pande zote ! Kama walijua mtu ana njano tatu kwann walimchezesha?
 
Aliyekwambiya kuna mzee atakayebali kupigwa picha nani?nilipiga picha zikaungua kimazingara....wale wazee noma sana..nilikuwa na ushahidi wote mkuu
 
Mimi kama shabiki hayo mengine ya kuhusu biahsara hayanihusu...wajibu wangu ni kuona YANGA AFRIKA anabeba ndoo tu basi....

Hayo mengine hayanihusu.....
Ndy maana mnadaiwa BILIONI moja..na jamaa..sijuwi mtalipa vipi....team itakodishwa kwa mali kauli...asiulizwe mapato na matumizi hadi miaka kumi...
 
Ndy maana mnadaiwa BILIONI moja..na jamaa..sijuwi mtalipa vipi....team itakodishwa kwa mali kauli...asiulizwe mapato na matumizi hadi miaka kumi...

Ikodishwe wiki, mwezi miaka au ikodishwe daima, hilo mimi halinihusu.....

ninachotaka kuona ni yanga sc inabeba ndoo ya ubingwa kila msimu....bila kuacha chochote....
Hilo ndilo linali nihusu mimi.....
 
Ikodishwe wiki, mwezi miaka au ikodishwe daima, hilo mimi halinihusu.....

ninachotaka kuona ni yanga sc inabeba ndoo ya ubingwa kila msimu....bila kuacha chochote....
Hilo ndilo linali nihusu mimi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…