mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Mwenzenu anafawanyisha biashara nyie mnaona kama anawasaidia...ameshajuwa kama ili kuwadanganya wana yanya inabidi awanunulie ubingwa..wakati yeye anapiga pesa ndefu sana...mara kawapeleka uturuky..mara brazili..nyie mnabeba tu mabegi...bila kuangalia... .siku mkatishe anga za watu tutapoteza timu nzima kwa kifungo....ona sasa anawadai BILIONI moja...mtalipa kweli hizo?team mkodisho?sijawahi kuona team inakodishwa duniani..ndy kwnz yanga...mimi najuwa kinachokodishwa ni bodaboda...GENGE..chumba....tax nk...lakini sio...sio klabu ya soka...
Tunajua hamumpendi kwa sababu tangu awe mwenye kiti wa Yanga hamjawahi kuchukua ubingwa mara nyingi zaidi kuliko Yanga.