Ikodishwe wiki, mwezi miaka au ikodishwe daima, hilo mimi halinihusu.....
ninachotaka kuona ni yanga sc inabeba ndoo ya ubingwa kila msimu....bila kuacha chochote....
Hilo ndilo linali nihusu mimi.....
Kweli kabisa sere boys wameenda gabon kupitia mezaniSerengeti Boys walipitishwa mezani sio uwanjani..... wacha maneno tupeni point zetu
Ikodishwe wiki, mwezi miaka au ikodishwe daima, hilo mimi halinihusu.....
ninachotaka kuona ni yanga sc inabeba ndoo ya ubingwa kila msimu....bila kuacha chochote....
Hilo ndilo linali nihusu mimi.....
Wacha simba awe bingwaNaunga mkono hoja ila na yanga zile goli za mkono hawastahili.
View attachment 492710
Ya huko..mm hayanihusu mkuu...nazungumzia suala la wazee wa yanga kuonekana ktk viunga vya kaitaba na mbuzi na JOGOO mwenye kipara...vp tena?
akiwa amezidiwa na uchovu baada ya goal la kichuya...
Hirizi hiyo ilikuwa ya wazee wa yanga....mm nimeanza kushabikia mpira tangu enzi ya akina ZUBERI MAGOHA.. Twalib hilali..iddi pazi...wa simba....NA YANGA wapo akina AMASHA.joseph fungo...NA YUSUPH BANA...unamjuwa?Najua hayakuhusu ila nakupa taarifa tu kuwa si jambo la kushangaza kuumia uchawi kwenye soka....
au kipindi kile papa ndaw anakutwa na hirizi kuinoni kule mbeya ulikuwa bado hujaanza kushabikia soka?
View attachment 493235
uwanja wa yanga kama unavyoonekana leo...
Hirizi hiyo ilikuwa ya wazee wa yanga....mm nimeanza kushabikia mpira tangu enzi ya akina ZUBERI MAGOHA.. Twalib hilali..iddi pazi...wa simba....NA YANGA wapo akina AMASHA.joseph fungo...NA YUSUPH BANA...unamjuwa?
Atleast tuna ndoto za uwanja.. Mafanikio bila ndoto hayawezekani.atleast tuna ndoto za uwanja na nyasi zishafika.... Hatuna wasiwasi mashabiki wa mnyamaKatika hilo hatuchekani.....
Huu hapa uwanja wa simba sc Bunju....Uko katika hatua za mwisho na utaanza kutumika msimu wa mwaka 2017/18.π
View attachment 493240
Bila kuwa hao wazee wachawi wangeionaje hyo hirizi..kama hao wazee hawakuwa wachawiUna maanisha PAPE NDAW alikuwa ni mmoja wa wanachama wa baraza la wazee wa Yanga SC kipindi anasajiliwa na Simba?
Magoli ya mazingaombwe mbona Kagera kashindwa kukujoaKama vile kichuya alivowakojolea
Tutajadili hili la kwako tukishabeba ubingwa hata kama wa kupora lazima tuchukue ili tukaiwakilishe vyema nchi yetu huko mbeleni sio ninyi wazee wa bandari kavu.kwa hiyo simba leo ndo wanaliona hili. mbona wao yule mchezaji wao aliye pewa kadi tatu za njano mbona walitete kwa nguvu zote.......
Leo kwao na hapa ndiyo tunataka kujua bodi ya ligi itachukua maamuzi gani. ikiwabeba Simba ndo tutajua juwa kweli ligi yetu ni mbovu.....
Kama yanga ikichukuwa ubingwa mara 3 mfululizo sioni shida hapo.kama unataka ubingwa jipange uwe na timu nzuri ya ubingwa. maswala ya figisu figisu ndo yanayo uwa soka la bongo na vilabu kuto kuendelea....
Nilitemea ukubwa wa Simba na Yanga leo hii vingekuwa vinajiendesha vyewe hata kwa mapato ya uwanjani. sasa mapato ya uwanjani yanapatikana mpaka wacheze simba ya Yanga....
Natamani siku moja viongozi wa TFF pamoja na vyombo vyake wa ajiliwe nje ya nchi ili watowe mfano kwa viongozi wa TFF.. Leo hii EPL ingekuwa ina viongozi wanao endesha ligi kwa mahaba natumai naona Man U kila mwaka wangekuwa wana nyanyua makwapa.kwakuwa wanajua ligi ilivyo wanafata kanuni za kimpira na wameshajua jua kuwa Soka ni biashara kubwa duniani ...lakini sisi tumeferi viogozi wanajali matumbo na sio Mustakabari wa soka letu....
WIZARA YA MECHEZO IINGILIE KATI PAMOJA NA WATU WA USALAMA WAINGILIE KATI
BILA KUSAHAU TAKUKURU KWANI NDANI YA SOKA LA BONGO KUNANUKA RUSHWA
BORA tusiwe na simba na Yanga ila tuwe na ligi bora na sio bora ligi
shabiki wa yanga akitafakari yanayojiri uwanjani
Bila kuwa hao wazee wachawi wangeionaje hyo hirizi..kama hao wazee hawakuwa wachawi
Waliiona kiunoni?hivi kuna camera ya kuona ndani ya nguo ulichovaa?Hata mimi niliiona hirizi pamoja na washika kamera wote wa azma tv waliiona..
kwa hivyo unamaanisha watu wote waliokuwa wanatizama mechi ni wachawi..?
Kuna utaratibu simba waliuanzisha wa kuruhusu mchezaji kuchagua mechi sasa hapa wanacholilia ni nn
Malinzi anajiandaa kuwapa SIMBA Ubingwa wa mezani.... Baada ya kuona uwanjani hawataweza...