Simba ubingwa wa point za rushwa haunogi chezeni mpira

Simba ubingwa wa point za rushwa haunogi chezeni mpira

Ikodishwe wiki, mwezi miaka au ikodishwe daima, hilo mimi halinihusu.....

ninachotaka kuona ni yanga sc inabeba ndoo ya ubingwa kila msimu....bila kuacha chochote....
Hilo ndilo linali nihusu mimi.....
be95b4411b3cce823933f330076d75de.jpg
shabiki wa yanga akitafakari yanayojiri uwanjani
 
Ikodishwe wiki, mwezi miaka au ikodishwe daima, hilo mimi halinihusu.....

ninachotaka kuona ni yanga sc inabeba ndoo ya ubingwa kila msimu....bila kuacha chochote....
Hilo ndilo linali nihusu mimi.....
3dbef4e630bf896ddbd76d35f56a81b2.jpg
akiwa amezidiwa na uchovu baada ya goal la kichuya...
 
Ya huko..mm hayanihusu mkuu...nazungumzia suala la wazee wa yanga kuonekana ktk viunga vya kaitaba na mbuzi na JOGOO mwenye kipara...vp tena?

Najua hayakuhusu ila nakupa taarifa tu kuwa si jambo la kushangaza kuumia uchawi kwenye soka....

au kipindi kile papa ndaw anakutwa na hirizi kuinoni kule mbeya ulikuwa bado hujaanza kushabikia soka?

pape.jpg
 
3dbef4e630bf896ddbd76d35f56a81b2.jpg
akiwa amezidiwa na uchovu baada ya goal la kichuya...

Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaye legea baada ya kufikia mshindo?

Jibu swali hili kwa usahihi ......baada ya kujibu uajijua kuwa bado uko bikra/
 
Najua hayakuhusu ila nakupa taarifa tu kuwa si jambo la kushangaza kuumia uchawi kwenye soka....

au kipindi kile papa ndaw anakutwa na hirizi kuinoni kule mbeya ulikuwa bado hujaanza kushabikia soka?

View attachment 493235
Hirizi hiyo ilikuwa ya wazee wa yanga....mm nimeanza kushabikia mpira tangu enzi ya akina ZUBERI MAGOHA.. Twalib hilali..iddi pazi...wa simba....NA YANGA wapo akina AMASHA.joseph fungo...NA YUSUPH BANA...unamjuwa?
 
3fb0b8f385df7e3406c2760814b0c025.jpg
uwanja wa yanga kama unavyoonekana leo...

Katika hilo hatuchekani.....

Huu hapa uwanja wa simba sc Bunju....Uko katika hatua za mwisho na utaanza kutumika msimu wa mwaka 2017/18.😀

simba.jpg
 
Hirizi hiyo ilikuwa ya wazee wa yanga....mm nimeanza kushabikia mpira tangu enzi ya akina ZUBERI MAGOHA.. Twalib hilali..iddi pazi...wa simba....NA YANGA wapo akina AMASHA.joseph fungo...NA YUSUPH BANA...unamjuwa?

Una maanisha PAPE NDAW alikuwa ni mmoja wa wanachama wa baraza la wazee wa Yanga SC kipindi anasajiliwa na Simba?
 
Katika hilo hatuchekani.....

Huu hapa uwanja wa simba sc Bunju....Uko katika hatua za mwisho na utaanza kutumika msimu wa mwaka 2017/18.😀

View attachment 493240
Atleast tuna ndoto za uwanja.. Mafanikio bila ndoto hayawezekani.atleast tuna ndoto za uwanja na nyasi zishafika.... Hatuna wasiwasi mashabiki wa mnyama
 
Una maanisha PAPE NDAW alikuwa ni mmoja wa wanachama wa baraza la wazee wa Yanga SC kipindi anasajiliwa na Simba?
Bila kuwa hao wazee wachawi wangeionaje hyo hirizi..kama hao wazee hawakuwa wachawi
 
kwa hiyo simba leo ndo wanaliona hili. mbona wao yule mchezaji wao aliye pewa kadi tatu za njano mbona walitete kwa nguvu zote.......

Leo kwao na hapa ndiyo tunataka kujua bodi ya ligi itachukua maamuzi gani. ikiwabeba Simba ndo tutajua juwa kweli ligi yetu ni mbovu.....

Kama yanga ikichukuwa ubingwa mara 3 mfululizo sioni shida hapo.kama unataka ubingwa jipange uwe na timu nzuri ya ubingwa. maswala ya figisu figisu ndo yanayo uwa soka la bongo na vilabu kuto kuendelea....

Nilitemea ukubwa wa Simba na Yanga leo hii vingekuwa vinajiendesha vyewe hata kwa mapato ya uwanjani. sasa mapato ya uwanjani yanapatikana mpaka wacheze simba ya Yanga....

Natamani siku moja viongozi wa TFF pamoja na vyombo vyake wa ajiliwe nje ya nchi ili watowe mfano kwa viongozi wa TFF.. Leo hii EPL ingekuwa ina viongozi wanao endesha ligi kwa mahaba natumai naona Man U kila mwaka wangekuwa wana nyanyua makwapa.kwakuwa wanajua ligi ilivyo wanafata kanuni za kimpira na wameshajua jua kuwa Soka ni biashara kubwa duniani ...lakini sisi tumeferi viogozi wanajali matumbo na sio Mustakabari wa soka letu....

WIZARA YA MECHEZO IINGILIE KATI PAMOJA NA WATU WA USALAMA WAINGILIE KATI
BILA KUSAHAU TAKUKURU KWANI NDANI YA SOKA LA BONGO KUNANUKA RUSHWA

BORA tusiwe na simba na Yanga ila tuwe na ligi bora na sio bora ligi
Tutajadili hili la kwako tukishabeba ubingwa hata kama wa kupora lazima tuchukue ili tukaiwakilishe vyema nchi yetu huko mbeleni sio ninyi wazee wa bandari kavu.
 
be95b4411b3cce823933f330076d75de.jpg
shabiki wa yanga akitafakari yanayojiri uwanjani

Naona umehishiwa hoja......
JF ni uwanja wa Great Thinkers...inakupasa ujibu hoja kwa hoja...

Hizi mambo tuliziachaga FACEBOOK kulee kitambo sana.....

Umetoka kwenye mjadala wa Yanga kutumia TIGO PESA mpaka ukafikia kwenye mijadara ya picha za watoto wa FACEBOOK.😀😀😀😀
 
Bila kuwa hao wazee wachawi wangeionaje hyo hirizi..kama hao wazee hawakuwa wachawi

Hata mimi niliiona hirizi pamoja na washika kamera wote wa azma tv waliiona..

kwa hivyo unamaanisha watu wote waliokuwa wanatizama mechi ni wachawi..?
 
Hata mimi niliiona hirizi pamoja na washika kamera wote wa azma tv waliiona..

kwa hivyo unamaanisha watu wote waliokuwa wanatizama mechi ni wachawi..?
Waliiona kiunoni?hivi kuna camera ya kuona ndani ya nguo ulichovaa?
 
Kuna utaratibu simba waliuanzisha wa kuruhusu mchezaji kuchagua mechi sasa hapa wanacholilia ni nn

Huo utaratibu ulioanzishwa na Simba Yanga waliulalamikia sana ukaondolewa. Ikanidi urudishwe ule wakawaida na huu ndio unaoenda kuwaangamiza Kageta Sugar tena.

Itabidi Yanga wapinge tena huo utaratibu, na kupendekeza mwingine!
 
Malinzi anajiandaa kuwapa SIMBA Ubingwa wa mezani.... Baada ya kuona uwanjani hawataweza...

Kumbe Malinzi huwa anagawa ubingwa? Kwa vyovyote Simba wasikubali kama ni hivyo maana wenzao Yanga wamepewa mara nyingi zaidi kipindi hiki cha Malinzi. Kujipendekeza kwa Simba this time anatafuta kura tu lakini kila mmoja anajua Malinzi ni Yanga na TFF yote ni Yanga watupu
 
Back
Top Bottom