Simba ubingwa wa point za rushwa haunogi chezeni mpira

Rejea rekodi vizuri za miaka ya nyuma, Yanga ishawahi kutwaa Ubingwa zaidi ya mara mbili baada ya Simba kuporwa point. Tena kuna msimu mmoja Simba iliporwa point 6 ndiyo Yanga ikatwaa ubingwa bila hivyo yasingetokea. Kuna kosa kama hilo pia la kuchezesha mchezaji mwenye kadi, ila wao hawakulalama lolote.

Hebu kuweni wapole tu, mshabeba ubingwa mara tatu tofauti kinamna hiyo.
 
Aliyekwambia simba bingwa nani
 
Breaking News:Baada ya Simba kushinda kwa kishindo cha Roma mkatoliki leo,na Baada ya Lambalamba kutoa droo mdhamini Mkuu tajiri wa kupindukia mwenye ukwasi wa kutosha Yusuph Manji ajitoa kwenye klabu, hii imetokana na Leo Yanga(Ndala) kukataa kuuza haki ya kuonyesha mpira na wale waarabu ambapo wangepata mil 35 za hataka mbali na Gate fee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…