Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Ni wanachama wa Simba wa tawi la mpira na maendeleo, wakati wa uchaguzi mkuu wa Simba walikuwa wanamuunga mkono Wambura baada ya Wambura kuenguliwa wakapeleka case mahakamani(citation needed). Aveva alivyoshinda akawafuta uanachama baada ya kufutwa uanachama ndo wakajiita Simba Ukawa wakiigiza jina la ukawa ya kisiasa.Simba ukawa ndo wapi hao?na wale wasiokuwa simba ukawa,wanaitwaje?RIP marehemu
Star TV habari wamesema waliofariki hadi sasa ni saba na waliojeruhiwa vibaya ni 18.Kulingana na wapo Redio hakuna aliyefariki ila wote wameumia. So mwenye ukweli atueleze.
Mghosi
Taarifa zinazoenea kwenye mitandao sinasema kuwa mashabiki watano wamepoteza maisha.Kulingana na wapo Redio hakuna aliyefariki ila wote wameumia. So mwenye ukweli atueleze.
Mghosi
Aveva ndio anajua maana ya Simba UKAWA.Habari mbaya sana asee though sijaelewa tafsiri ya neno UKAWA unavyotumika hapo.
Poleni Simba