Simba UKAWA wapata ajali,watu watano wafariki

Simba UKAWA wapata ajali,watu watano wafariki

Mungu wangu!!!!! pole sana majeruhi na wana simba wote,

DAIMA TUKO PAMOJA.
 
Kulingana na wapo Redio hakuna aliyefariki ila wote wameumia. So mwenye ukweli atueleze.

Mghosi
 
Hii ajali imetokea maeneo gani, poleni sana
 
Simba ukawa ndo wapi hao?na wale wasiokuwa simba ukawa,wanaitwaje?RIP marehemu
Ni wanachama wa Simba wa tawi la mpira na maendeleo, wakati wa uchaguzi mkuu wa Simba walikuwa wanamuunga mkono Wambura baada ya Wambura kuenguliwa wakapeleka case mahakamani(citation needed). Aveva alivyoshinda akawafuta uanachama baada ya kufutwa uanachama ndo wakajiita Simba Ukawa wakiigiza jina la ukawa ya kisiasa.
 
Kulingana na wapo Redio hakuna aliyefariki ila wote wameumia. So mwenye ukweli atueleze.

Mghosi
Star TV habari wamesema waliofariki hadi sasa ni saba na waliojeruhiwa vibaya ni 18.
 
Kulingana na wapo Redio hakuna aliyefariki ila wote wameumia. So mwenye ukweli atueleze.

Mghosi
Taarifa zinazoenea kwenye mitandao sinasema kuwa mashabiki watano wamepoteza maisha.

Wapumzishwe mahali pema peponi ameen.
 
Habari mbaya sana asee though sijaelewa tafsiri ya neno UKAWA unavyotumika hapo.
 
Idadi ya vifo imefikia 7. Source ITV!
 
Back
Top Bottom