simba usajili gani huu?? au 10%

simba usajili gani huu?? au 10%

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Screenshot_20240625_011252_Chrome.jpg

every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
 
Mpeni muda aje akiwashe. Hata Fiston Mayele wakati anasajiliwa Yanga, hakuwa maarufu kivile. Lakini baada tu ya kuizoea ligi, moto wake tuliuona.
 
Ghana ligi mbovu sana.
Somo la subira kwako linakupiga chenga sana, ligi ya Ghana inaweza kuwa ni mbovu ila ikatoa mchezaji mzuri, haiwezekani ligi nzima ikawa na wachezaji wote wabovu. Na pia mchezaji anaweza akatoka kwenye ligi bora na asikupe ulichokitaraji kwake. Usajili ni kamari, kwani hujawahi kuona mchezaji kutoka ligi bora na akawa ni mchezaji mkubwa kitakwimu na akafeli kwenye timu nyingine? Jifunze kuwa mvumilivu, mpe mtu muda wa kutosha uwanjani ndipo uje utolee maoni. Mambo kama haya ndio yaliyokuponza kwa Gamondi, minyuzi kibao ya negativity kwake mwisho wa siku ukabaki mdomo wazi.
 
konikoni, okrah, and alot more failed

August sio mbali,
 
Simba imetrend vibayaaaaaa mnoooooo
In Ahmed Ally's voice....
 
Back
Top Bottom