Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usajili huwa hauongeleki kuwa umefaulu au umefeli ni mpaka mchezaji acheze mechi kadhaa. Unaweza kuchukua mchezaji mwenye profile kubwa kutoka taifa sehemu nzuri na akafeli pia. Subiri uone wachezaji wakicheza ndio uhukumu usajili.
Acha kulalamika. Kama huyu hafai, mlete babaako asajiliwe akiwashe! Pumbavu!
Acha matusi we Mtoto wa ShuleAcha kulalamika. Kama huyu hafai, mlete babaako asajiliwe akiwashe! Pumbavu!
Ahahahahaha!!!Acha matusi we Mtoto wa Shule
ligi ya Ghana?? aupo seriousSajili nzur sana hi .
Ghana ligi mbovu sana.Usajili huwa hauongeleki kuwa umefaulu au umefeli ni mpaka mchezaji acheze mechi kadhaa. Unaweza kuchukua mchezaji mwenye profile kubwa kutoka taifa sehemu nzuri na akafeli pia. Subiri uone wachezaji wakicheza ndio uhukumu usajili.
Somo la subira kwako linakupiga chenga sana, ligi ya Ghana inaweza kuwa ni mbovu ila ikatoa mchezaji mzuri, haiwezekani ligi nzima ikawa na wachezaji wote wabovu. Na pia mchezaji anaweza akatoka kwenye ligi bora na asikupe ulichokitaraji kwake. Usajili ni kamari, kwani hujawahi kuona mchezaji kutoka ligi bora na akawa ni mchezaji mkubwa kitakwimu na akafeli kwenye timu nyingine? Jifunze kuwa mvumilivu, mpe mtu muda wa kutosha uwanjani ndipo uje utolee maoni. Mambo kama haya ndio yaliyokuponza kwa Gamondi, minyuzi kibao ya negativity kwake mwisho wa siku ukabaki mdomo wazi.Ghana ligi mbovu sana.
konikoni, okrah, and alot more failedSomo la subira kwako linakupiga chenga sana, ligi ya Ghana inaweza kuwa ni mbovu ila ikatoa mchezaji mzuri, haiwezekani ligi nzima ikawa na wachezaji wote wabovu. Na pia mchezaji anaweza akatoka kwenye ligi bora na asikupe ulichokitaraji kwake. Usajili ni kamari, kwani hujawahi kuona mchezaji kutoka ligi bora na akawa ni mchezaji mkubwa kitakwimu na akafeli kwenye timu nyingine? Jifunze kuwa mvumilivu, mpe mtu muda wa kutosha uwanjani ndipo uje utolee maoni. Mambo kama haya ndio yaliyokuponza kwa Gamondi, minyuzi kibao ya negativity kwake mwisho wa siku ukabaki mdomo wazi.
fiston mayele ajatoka Ghana leagueMpeni muda aje akiwashe. Hata Fiston Mayele wakati anasajiliwa Yanga, hakuwa maarufu kivile. Lakini baada tu ya kuizoea ligi, moto wake tuliuona.
MgandaKotei, Amoah, walitokea wapi? Afu huyo ni Mghana?
Kotei na Amoah wametokea ligi ya GhanaKotei, Amoah, walitokea wapi? Afu huyo ni Mghana?