mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Angalia hyo rank kwa club za Africa
imetoka tarehe 10 mwezi wa 1 mwaka 2021..
Wapo nafasi ya 29.
imetoka tarehe 10 mwezi wa 1 mwaka 2021..
Wapo nafasi ya 29.
Plateau amekua mwepesi kwasababu wachezaji wake wengi walikutwa na Corona Pili yule hakua bigwa kwenye nchi yake Bali kipindi Cha ligi yao inasimama kwasababu ya Corona yenye ndio alikua akiongoza ligi.
Platinum ni mwepesi tulimpiga 5 Taifa mwaka 2015 akiwa na wachezaji nyota Kama Thabani Kamusoko, Donald Ngoma, Aubrey Chirwa.
Yamwaka huu mchezaji tishio ni Perfect Chikwende.
wakina Issa Ndala uwezi kufananisha na Kamusoko tulimfunga 5 Taifa timu yakawaida sana ile.
Kwanza yule goaly kipa wa PLATINUM umeekewa kipa chguo la 3 chaguo namba 1 amekutwa na Corona
Mtani uishukuru Corona imekubeba mwaka huu na itaendelea kukubeba kwasababu mwarabu utaenda cheza bila kuwa na mashabiki zile 5 zitapungua, Safari hii