Simba uso kwa uso na Yanga fainali ya kombe la Mapinduzi

Angalia hyo rank kwa club za Africa
imetoka tarehe 10 mwezi wa 1 mwaka 2021..
Wapo nafasi ya 29.
 
Kwa Sasa Simba sio level za yanga.
Kilichobakia Sasa ni ule UTANI WA JADI tulioachiwa na mababu zetu.
Ila kwa viwango vya mpira
Hauwezi kuifananisha simba na Yanga.
SIMBA WAPO JUU SANAA.
Simba wako juu sana, kwa sasa hakuna timu ,kwa hapa Tanzania na katika Afrika , imefikia hatua ya kuchezesha watu na paka kwa pamoja.
 
Simba wapo nafasi ya 271 kwa ubora africa
Umemfunga muhanga wa corona
Yanga wapo nafasi ya 377 kwa ubora Africa.
FC platinum ipo nafasi ya 71 Africa.
Alafu utasemaje platinum na plateau fc.
Ni TIMU DHAIFU?.
HAYO MASUALA YA WACHEZAJI WAO KUKUTWA NA CORONA HAYANA NAFASI
 
wewe ni mshabiki na mprnzi wa SIMBA KABISA
 
Uto wanapigwa 3-1 na mnyama.
Wataanza kushinda Uto kisha Mnyama atachomoa ataongeza.
 
Mbona paka hawaonekani mitaani.
Yanga wameshaanza visingizio. Kipigo kinaingia kwenye records, iwe sababu ya paka au hirizi, rekodi hazitavitaja hivyo, itataja idadi ya magoli
 
Yanga imeingia fainali baada ya kutoa sare mbili na kushinda moja, imefunga magoli mawili na imeruhusu moja
Simba imeingia fainali baada ya kushinda mechi zote tatu, imefunga magoli saba na imeruhusu mawili
 
Timu zinapangiwa michezo kutokana na viwango vyao vya ubora. Timu ya nafasi ya 17 na 69 haziwezi kucheza mechi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…