Kiwanja cha mazoezi kashindwa ndio ajenge cha mechi za ushindani.?? πππππ bora dewj hela anatoa japo anapingwa na utopwinyo na machawaGSM stadium mtakubali au mtachimba maana mzigo anao wa kutosha
Nilitaka uje humu humu sasa tuendeleeMkiambiwa mkasome mnakimbia umande matokeo yake ni aya.
Uwanja ni chanzo cha mapato, kama chanzo cha mapato kitashindwa vipi kulipa mkopo?
Man city uwanja wao wamejengewa na Etihad, arsenal fly emirates na makampuni yamechukua naming rights.
Madrid wanapanua uwanja wao kwa fedha za mkopo.
Shirikisha ubongo wako kufikiri
Mkuu naona michango ichangwe ili ionekane hatua itakayofikiwa na wanachama na wapenzi wooote watakao changia. Afu naamini viongozi watafanya sawa sawa na mawazo yako kukamilisha huu mpangoNilitaka uje humu humu sasa tuendelee
Pale kwa Mkapa ushawahi kusikia Simba ameingiza walau bilion 1 kwa mwaka kama gate collection?
Nakuuliza ili unioneshe ni kivipi ni rahisi Simba ikakope afu itegemee kulipa zaidi ya. Bilion 40 huku ikijiendesha bila tatizo lolote.
Kiwanja cha mazoezi kashindwa ndio ajenge cha mechi za ushindani.?? πππππ bora dewj hela anatoa japo anapingwa na utopwinyo na machawa
Nilitaka uje humu humu sasa tuendelee
Pale kwa Mkapa ushawahi kusikia Simba ameingiza walau bilion 1 kwa mwaka kama gate collection?
Nakuuliza ili unioneshe ni kivipi ni rahisi Simba ikakope afu itegemee kulipa zaidi ya. Bilion 40 huku ikijiendesha bila tatizo lolote.
Hana hela. Ikiwa wachezaji.tu mpaka asubiri wakuokota ndipo apate wachezaji au wa mkopo. Hana uwezo wa kujenga uwanja mle utopwinyo. Kashindwa kiwanja cha mazoezi ataweza cha mechi za ushindani...? Tumia akili..Yeye GSM anawataka Makolo, je mko tayari amwage mpunga muepuke na hili bakuli
Soma historia kwa akili yako ya kipimbi unajua michango ni direct kuna indorect kama kununua jezi na kalamu na skafu..KIMA JIKE WEWENAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Vipi kaunda iliisha ..? vipi jiesiemu kawajengea kiwanja cha mazoezi..? Mo anatoa 2 km mchango afu yule wa kule anatoa nini uwanja wa mazoezi..?Mudi katoa bil 2 mengine kawachia jamaa mpigaji sana
Mbona una jazba mkuu. Hebu kunywa maji na relaxHana hela. Ikiwa wachezaji.tu mpaka asubiri wakuokota ndipo apate wachezaji au wa mkopo. Hana uwezo wa kujenga uwanja mle utopwinyo. Kashindwa kiwanja cha mazoezi ataweza cha mechi za ushindani...? Tumia akili..
Imani yangu ni kwamba uwanja utakamilika tu hilo sina shaka nalo kabisa miaka miwili hii karibu na nusu ujenzi unawezekana watu wakijipanga vema tu ni ishu ya uhamasishaji tu mimi siamini eti viongozi wa Simba wanategemea 100% money itatoka kwa mashabiki then wawe hawana plan B ya kama isipotosha itakuwajeMkuu naona michango ichangwe ili ionekane hatua itakayofikiwa na wanachama na wapenzi wooote watakao changia. Afu naamini viongozi watafanya sawa sawa na mawazo yako kukamilisha huu mpango
Nilitaka uje humu humu sasa tuendelee
Pale kwa Mkapa ushawahi kusikia Simba ameingiza walau bilion 1 kwa mwaka kama gate collection?
Nakuuliza ili unioneshe ni kivipi ni rahisi Simba ikakope afu itegemee kulipa zaidi ya. Bilion 40 huku ikijiendesha bila tatizo lolote.
Sio jaziba tunaambiana ujue kukosoa ndiyo kazi rahisi tu duniani.. vilabu vyoote tunavyovijua vilianzia chini kutokana na juhudi za wanachama au mashabiki kwa maana hao ndio mtaji. Sasa mtu anapobeza juhudi za wenzake mkuu huyo unapaswa umjibu kiuhalisia bila kumremba hata akichukiaMbona una jazba mkuu. Hebu kunywa maji na relax
Mkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwaImani yangu ni kwamba uwanja utakamilika tu hilo sina shaka nalo kabisa miaka miwili hii karibu na nusu ujenzi unawezekana watu wakijipanga vema tu ni ishu ya uhamasishaji tu mimi siamini eti viongozi wa Simba wanategemea 100% money itatoka kwa mashabiki then wawe hawana plan B ya kama isipotosha itakuwaje
Suala la kusema tu haiwezekani ni kawaida ya wanadamu wenye imani haba ambayo hupaswi kuikumbatia kamwe
Ingia kwenye hesabu ya mapato usiruke viunzi ,Maisha yako unafahamu kua mkopo unalipwa ndani ya mwaka mmoja, term za malipo huwa zinatofautiana kupitia agreement.
Wanakaa mezani wanaweza fanya agreement 55-45, 60-40 regarding time frame ya mkopo ku mature
Umetoka nje ya madaVipi kaunda iliisha ..? vipi jiesiemu kawajengea kiwanja cha mazoezi..? Mo anatoa 2 km mchango afu yule wa kule anatoa nini uwanja wa mazoezi..?
Sawa Nyani[emoji1787]Yeye GSM anawataka Makolo, je mko tayari amwage mpunga muepuke na hili bakuli
Mkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwaImani yangu ni kwamba uwanja utakamilika tu hilo sina shaka nalo kabisa miaka miwili hii karibu na nusu ujenzi unawezekana watu wakijipanga vema tu ni ishu ya uhamasishaji tu mimi siamini eti viongozi wa Simba wanategemea 100% money itatoka kwa mashabiki then wawe hawana plan B ya kama isipotosha itakuwaje
Suala la kusema tu haiwezekani ni kawaida ya wanadamu wenye imani haba ambayo hupaswi kuikumbatia kamwe
Nipo kwenye mada maana umeandika kejeli kwenye juhudi za wanasimba ndio maana nikaona nikukumbushe je dhihaka unayoifanya hapa kwako umejiangalia..?Umetoka nje ya mada
Mada ni uwanja wa simba.
Sasa ikiwa hafikii 1 b kwa mwaka unadhani ni rahisi kulipa bilion zaidi ya 80 akikopa?Niliwai sikia last season waliingiza kama million 900 hivi kupitia mapato ya uwanjani.
Ila kumbuka ule uwanja sio wao. Ukitoa makato ya tra, tff, sijui bodi ya league kuna other payment zinaenda kwenye matumizi ya uwanja wa mkapa.
Na game inayompa return nzuri ni derby kwa kibongo bongo ambayo inachangia 3/4 ya mapato yake uwanjani
Sio dhihaka kwani mudi hela aliyotoa tumedanganya?Mkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwa
Nipo kwenye mada maana umeandika kejeli kwenye juhudi za wanasimba ndio maana nikaona nikukumbushe je dhihaka unayoifanya hapa kwako umejiangalia..?