Simba uwanja huu hapa

Simba uwanja huu hapa

GSM stadium mtakubali au mtachimba maana mzigo anao wa kutosha
Kiwanja cha mazoezi kashindwa ndio ajenge cha mechi za ushindani.?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bora dewj hela anatoa japo anapingwa na utopwinyo na machawa
 
Mkiambiwa mkasome mnakimbia umande matokeo yake ni aya.

Uwanja ni chanzo cha mapato, kama chanzo cha mapato kitashindwa vipi kulipa mkopo?

Man city uwanja wao wamejengewa na Etihad, arsenal fly emirates na makampuni yamechukua naming rights.

Madrid wanapanua uwanja wao kwa fedha za mkopo.

Shirikisha ubongo wako kufikiri
Nilitaka uje humu humu sasa tuendelee

Pale kwa Mkapa ushawahi kusikia Simba ameingiza walau bilion 1 kwa mwaka kama gate collection?

Nakuuliza ili unioneshe ni kivipi ni rahisi Simba ikakope afu itegemee kulipa zaidi ya. Bilion 40 huku ikijiendesha bila tatizo lolote.
 
Mkuu naona michango ichangwe ili ionekane hatua itakayofikiwa na wanachama na wapenzi wooote watakao changia. Afu naamini viongozi watafanya sawa sawa na mawazo yako kukamilisha huu mpango
 
Yeye GSM anawataka Makolo, je mko tayari amwage mpunga muepuke na hili bakuli
Kiwanja cha mazoezi kashindwa ndio ajenge cha mechi za ushindani.?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bora dewj hela anatoa japo anapingwa na utopwinyo na machawa
 
Nilitaka uje humu humu sasa tuendelee

Pale kwa Mkapa ushawahi kusikia Simba ameingiza walau bilion 1 kwa mwaka kama gate collection?

Nakuuliza ili unioneshe ni kivipi ni rahisi Simba ikakope afu itegemee kulipa zaidi ya. Bilion 40 huku ikijiendesha bila tatizo lolote.

Maisha yako unafahamu kua mkopo unalipwa ndani ya mwaka mmoja, term za malipo huwa zinatofautiana kupitia agreement.

Wanakaa mezani wanaweza fanya agreement 55-45, 60-40 regarding time frame ya mkopo ku mature
 
Yeye GSM anawataka Makolo, je mko tayari amwage mpunga muepuke na hili bakuli
Hana hela. Ikiwa wachezaji.tu mpaka asubiri wakuokota ndipo apate wachezaji au wa mkopo. Hana uwezo wa kujenga uwanja mle utopwinyo. Kashindwa kiwanja cha mazoezi ataweza cha mechi za ushindani...? Tumia akili..
 
NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Soma historia kwa akili yako ya kipimbi unajua michango ni direct kuna indorect kama kununua jezi na kalamu na skafu..KIMA JIKE WEWE
 
Mudi katoa bil 2 mengine kawachia jamaa mpigaji sana
Vipi kaunda iliisha ..? vipi jiesiemu kawajengea kiwanja cha mazoezi..? Mo anatoa 2 km mchango afu yule wa kule anatoa nini uwanja wa mazoezi..?
 
Hana hela. Ikiwa wachezaji.tu mpaka asubiri wakuokota ndipo apate wachezaji au wa mkopo. Hana uwezo wa kujenga uwanja mle utopwinyo. Kashindwa kiwanja cha mazoezi ataweza cha mechi za ushindani...? Tumia akili..
Mbona una jazba mkuu. Hebu kunywa maji na relax
 
Mkuu naona michango ichangwe ili ionekane hatua itakayofikiwa na wanachama na wapenzi wooote watakao changia. Afu naamini viongozi watafanya sawa sawa na mawazo yako kukamilisha huu mpango
Imani yangu ni kwamba uwanja utakamilika tu hilo sina shaka nalo kabisa miaka miwili hii karibu na nusu ujenzi unawezekana watu wakijipanga vema tu ni ishu ya uhamasishaji tu mimi siamini eti viongozi wa Simba wanategemea 100% money itatoka kwa mashabiki then wawe hawana plan B ya kama isipotosha itakuwaje

Suala la kusema tu haiwezekani ni kawaida ya wanadamu wenye imani haba ambayo hupaswi kuikumbatia kamwe
 
Nilitaka uje humu humu sasa tuendelee

Pale kwa Mkapa ushawahi kusikia Simba ameingiza walau bilion 1 kwa mwaka kama gate collection?

Nakuuliza ili unioneshe ni kivipi ni rahisi Simba ikakope afu itegemee kulipa zaidi ya. Bilion 40 huku ikijiendesha bila tatizo lolote.

Niliwai sikia last season waliingiza kama million 900 hivi kupitia mapato ya uwanjani.

Ila kumbuka ule uwanja sio wao. Ukitoa makato ya tra, tff, sijui bodi ya league kuna other payment zinaenda kwenye matumizi ya uwanja wa mkapa.

Na game inayompa return nzuri ni derby kwa kibongo bongo ambayo inachangia 3/4 ya mapato yake uwanjani
 
Mbona una jazba mkuu. Hebu kunywa maji na relax
Sio jaziba tunaambiana ujue kukosoa ndiyo kazi rahisi tu duniani.. vilabu vyoote tunavyovijua vilianzia chini kutokana na juhudi za wanachama au mashabiki kwa maana hao ndio mtaji. Sasa mtu anapobeza juhudi za wenzake mkuu huyo unapaswa umjibu kiuhalisia bila kumremba hata akichukia
 
Imani yangu ni kwamba uwanja utakamilika tu hilo sina shaka nalo kabisa miaka miwili hii karibu na nusu ujenzi unawezekana watu wakijipanga vema tu ni ishu ya uhamasishaji tu mimi siamini eti viongozi wa Simba wanategemea 100% money itatoka kwa mashabiki then wawe hawana plan B ya kama isipotosha itakuwaje

Suala la kusema tu haiwezekani ni kawaida ya wanadamu wenye imani haba ambayo hupaswi kuikumbatia kamwe
Mkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwa
 
Maisha yako unafahamu kua mkopo unalipwa ndani ya mwaka mmoja, term za malipo huwa zinatofautiana kupitia agreement.

Wanakaa mezani wanaweza fanya agreement 55-45, 60-40 regarding time frame ya mkopo ku mature
Ingia kwenye hesabu ya mapato usiruke viunzi ,
Wewe unahisi mtu anakuja tu anakupa bil 40 afu utarudisha bila kuona unazirudishaje!? Sisi ni wajasiriamali mikopo tunaijua huwezi kukopeswa mil 50 wakati hata dalili za kuingiza milion 10 kwa mwaka huna wala assets zako hazizidi hiyo milion 50 mara kadhaa labda benki ya vichaa

Kama pato la Simba halifikii 1 bil profit means kama atakopa bil 40 atarudisha pesa hiyo baada ya miaka si chini ya 60 sasa nani atafanya biashara ya hivyo ?
 
Vipi kaunda iliisha ..? vipi jiesiemu kawajengea kiwanja cha mazoezi..? Mo anatoa 2 km mchango afu yule wa kule anatoa nini uwanja wa mazoezi..?
Umetoka nje ya mada
Mada ni uwanja wa simba.
 
Imani yangu ni kwamba uwanja utakamilika tu hilo sina shaka nalo kabisa miaka miwili hii karibu na nusu ujenzi unawezekana watu wakijipanga vema tu ni ishu ya uhamasishaji tu mimi siamini eti viongozi wa Simba wanategemea 100% money itatoka kwa mashabiki then wawe hawana plan B ya kama isipotosha itakuwaje

Suala la kusema tu haiwezekani ni kawaida ya wanadamu wenye imani haba ambayo hupaswi kuikumbatia kamwe
Mkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwa
Umetoka nje ya mada
Mada ni uwanja wa simba.
Nipo kwenye mada maana umeandika kejeli kwenye juhudi za wanasimba ndio maana nikaona nikukumbushe je dhihaka unayoifanya hapa kwako umejiangalia..?
 
Niliwai sikia last season waliingiza kama million 900 hivi kupitia mapato ya uwanjani.

Ila kumbuka ule uwanja sio wao. Ukitoa makato ya tra, tff, sijui bodi ya league kuna other payment zinaenda kwenye matumizi ya uwanja wa mkapa.

Na game inayompa return nzuri ni derby kwa kibongo bongo ambayo inachangia 3/4 ya mapato yake uwanjani
Sasa ikiwa hafikii 1 b kwa mwaka unadhani ni rahisi kulipa bilion zaidi ya 80 akikopa?
 
Mkuu upo sawa na fikra zangu. Hii michango nikupunguza uzito ila lazima viongozi wata fanya kutafuta mikopo, ubia, kuuza hatimiliki ya uwanja kwa muda, au lolote lile la kufanikisha ujenzi wa uwanja ukafanyika na pia uwanja unaweza kujengwa kwa awamu. Na hakuna jambo ambalo ni rahisi mwanzoni. Urahisi utaonekana mwishoni ikisha kamilishwa

Nipo kwenye mada maana umeandika kejeli kwenye juhudi za wanasimba ndio maana nikaona nikukumbushe je dhihaka unayoifanya hapa kwako umejiangalia..?
Sio dhihaka kwani mudi hela aliyotoa tumedanganya?
Hakuna cha juhudi huo ni mpango wa majuha na mazuzu tu ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom