Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mlete Mangungo wa MsoveroTutafutie itujengee kirahisi kama unavyozungumza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlete Mangungo wa MsoveroTutafutie itujengee kirahisi kama unavyozungumza
Bwashee kwani kila kitu ni lazima tuige kea wazungu? Hivi waafrika nani katuloga?NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Utopolo akili zao ni kama alivyo sema Manara.Bwashee kwani kila kitu ni lazima tuige kea wazungu? Hivi waafrika nani katuloga?
Kwahiyo kwakuwa wazungu wamehalalisha ushoga nasi tuige?
Hili swali limetoka katikati ya ubongo wa mtu mpumbavu ambaye anaweza kujisaidia na akaondoka na kinyesi makalioni.NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Mnyeti kule Shinyanga kajenga uwanja mzuri tu, kwa pesa yake binafsi ambayo haizidi shilingi Bilioni tatu.Hili swali limetoka katikati ya ubongo wa mtu mpumbavu ambaye anaweza kujisaidia na akaondoka na kinyesi makalioni.
Ujue watanzania wengine walijazwa maji vichwani na wakajikuta wanatembea na bahati mbaya zaidi wakakutana na kizazi cha smartphone, sasa ujinga wao wote wanaumwaga kwenye mitandao bila kuwaza chochote kisa tu mapenzi ya timu B.Mnyeti kule Shinyanga kajenga uwanja mzuri tu, kwa pesa yake binafsi ambayo haizidi shilingi Bilioni tatu.
MO kajenga viwanja viwili vya Mazoezi kwa pesa yake binafsi pale Bunju.
Vipi Simba ishindwe kujenga uwanja wa wake na wanaanza na mtaji wa Bilioni mbili. ?
Na hiyo ni hatua ya awali tu na bado wadau mbalimbali watatafutwa ili kukamilisha hili zoezi.
Akili za wautopolo wanazijua wenyewe.
Unawezaje kubeza hili wazo la maendeleo kwenye soka ?
Usipojaribu huwezi kufeli.me nadhan wamekurupuka tuu...in fact MHEMKO...
Simba wangeingia contract ata na kampuni wakapewa mkopo au wakajengewa uwanja. Uwanja ukawa named kwa jina la kampuni kwa kipindi cha muda fulani.
Au waingie mkataba na kampuni mfano benki ikawapa mkopo au katika kila mauzo ya tiketi zao watachukua asilimia kadhaa kwa kipindi cha muda fulani.
Unajilinganishaje na timu za ulaya wakati upo tanzaniaNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Mkuu huyo anafugwa na dada yake . Hayo atayajulia wapi?Hizo hasira ndo znahitajika ukiwa umepanga au ukiwa unaishi kwa ndugu ukinyanyasika unapata morali ya kujenga yakwako, swala la kujenga na ujenzi wowote n mgumu ila mkuu usizan uwanja huwa unajengwa mwanzo mwisho hapana unajengwa kwa awamu hata makanisa yanajengwa kwa awamu tena kwa michango hata nyumba za kawaida znajengwa kwa awamu
Msukule ulishasema , kule usukuleni mwenye akili ni Sunday Manara kidogo na JK. Kwahiyo usishangae kusikia jambo kama hilo toka usukuleni.Kwahiyo ni lazima jambo lolote lifanyike kwanza Ulaya ndio liwe ni halali pia kufanyika kwenye mabara mengine?
Sisi hatujaendeleaNAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Ni Munchen na sio MuchinKuna timu kubwa hazina uwanja
Ac Milan
Inter Milan
Bayern muchin
CSKA Moscow
Zenit St petersburg
Kwani simba wakiwa wakwanza kuna ubaya?NAOMBA KUULIZA HIVI KUNA TIMU KUBWA DUNIANI HUKO ULAYA KULIKOENDELEA WAMETENGENEZA VIWANJA VYAO KWA MICHANGO NA FEDHA MASHABIKI?
Sawa Babra, naona vile unapigania wazo la bwana wako.Tunachanga ili na wewe kabwili uingie uwanja wa watu walioichangia simba upo
Wewe utakuwa UTOPWINYO tu,maana si kwa mpovu huo.....wanaochanga wengine wewe misuli ya nya inabana.....duh nchi ngumu kweli hiiSUALA LA UJENZI WA UWANJA SIO RAHISI KAMA INAVYOWEZEKANA, SIO KUKURUPUKA KISA TU BIBIE KANYIMWA SITI PALE VVIP
Umelowa nyumaKitu Simba hawajui, mpaka waje wachange hadi wafikishe lengo gharama zitakuwa zimepanda kwa asilimia 50 kwa kile kinachoitwa (Cost Overruns) na kufanya gharama zifikie shilingi bilioni 45. Sio rahisi kama wanavyofikiri.