Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,450
- 6,496
Kwenye hiyo list ya wadhamini sioni jina la Amberruty. Kajitoa?Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma
Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokonoView attachment 3343118
Walaumu simba kwa kupost na sio mimiUnaumia ukiwa wapi ndugu?
Walaumu simba kwa kupost na sio mimiUtopolo a.k.a vyura kwa umbea. Mechi jpil wewe una weweseka leo
Usikute hata hizo data zimekuwa inflated ili kuhamasisha watu wahahe kwenda kununua tiketi.Simba mpaka mda huu hawajajaza uwanja bado hii ni ajabu au ni karma ya kula fedha za Zulma
Wataujaza ila hakuna aliyetegemea itakuwa ni kwa mwendo wa konokonoView attachment 3343118
Sio kwamba anaanza kusambaza vifaa vya michezo msimu ujao???Kwenye hiyo list ya wadhamini sioni jina la Amberruty. Kajitoa?
Uwanja wa Amaan, jukwaa la upande wa Mashariki linaitwa URUSI.Hapo urusi imekujaje tena😳😳
Hapo sasaHapo urusi imekujaje tena😳😳
Uwanja wa Amaan, jukwaa la upande wa Mashariki linaitwa URUSI.
Hivi kwa mpira ule wa Berkane uliouona kule Morocco, wana nguvu tena ya kuwa na hekaheka? Wale ni vichaa wa mpira. Sisi tuna siasa ya mpira tu.Nimeingia Zanzibar toka Jana ila sioni Shamra Shamra zozote, Simbo wapo wanyonge sana